Kuna baadhi ya koment MTU anakomenti utazan anafikiria Kwa kutumia "Gluteal Muscles "
MWENZENU LENGO LAKE NIKUKUFAHAMISHA WEWE MUAJIRI JUU YA HALI YA ULEMAVU ALONAO ,NKWAMBA LICHA YA ULEMAVU HUO BADO KIELIMU AMEJISOGEZA .
Alafu kun mijitu inamponda eti oohhhhj UNATUMIA ULEMAVU KUPATA KAZI ,, ivi nyinyi mlokoment ivo ,nibinadam kweli kweli au Aliens ????? .
Niwapi amesema umuonee huruma Kwa kua ni mlemavu ???? .
Maana ya Sifa za mwombaji wakazi nizipi ???
Mnapoomba kazi simnakua kun fom person details inayojumuisha na Afya ya mwombaji ???? .
Angesema bila kutaja ULEMAVU wake Bado mngemponda kwamba "" Kwahiyo elimu kaokote makopo "" ametaja naulemav wake bado mnaponda ??? Aaaaarrrrhggggghhh ivi wabongo akili zenu nimatope na kuwaza ngono tuuu ????
Achen zenu bana ,,, unaitaj mfanyakazi mwajiri nasifa zake alotoa ,,,Huna tulia ....
Mnajiita wasomi wakati mmeshindw hata kutengeneza ajira ya MTU mmoja ????? Akili hizo au matope ?????? .
Kuna baadhi ya watu badala ya kuongea kwakutumia madomo yenu makubwa mlopewa muwe mnajaribu kuyaunganisha na akili ndogo mlopewa ...sio kubwata bwata !!! Shame on you !!.