Mlemavu wa mkono

Mlemavu wa mkono

emma-chriss

Senior Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
100
Reaction score
16
Kuna jamaa mmoja alipata ajali akakatwa mkono wa kulia. hio hali ilimkatisha tamaa ya kuishi na akaamua kujiua kwa kupanda juu ya gorofa refu ili ajitupe chini. wakati anataka kujirusha akamuona mtu hana mkono hata mmoja lakini anarukaruka kwa furaha akamua kushuka na kwenda kumuuliza kitugani kinampa furaha wakati hana mkono hata mmoja. mazungumzo yalikua hivi;

Mwenye mkono mmoja: Mshikaji mbona huna mkono hata mmoja lakini unafuraha?
Asie na mikono: Alie kuambia nina furaha nani?
Mwenye mkono mmoja:Nakuona unarukaruka kwa shangwe!
Asie na mikono:Wewe ms**ge nini,hapa nilipo mk**du unawasha natafuta jinsi ya kujikuna ndo mana narukaruka
 
asee nimependa hiyo kitu, sasa wa mkono mmoja akafikia wap na uamuz wake wa kujiua?
 
Somo - Siku zote kuna watu wenye shida kuliko wewe
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!
 
kwahiyo aliyetaka kujiua akasitisha zoezi la kujiua na kumkuna asiyena mikono!!!!
 
Umenifanya nicheke wakati nilikuwa nna mpango wa kununa siku nzima,,, Dah!!
 
Back
Top Bottom