Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
kuna tabia naona inakuwa kwa kasi kubwa sana na hii ni uvaaji wa suruali katikati ya makalio kwa vijana wa kiume.hii ni fashion za kuonyesha boxer? au ni tabia za kuiga?coz sio kwa wanamuziki na vijana wa mitaani tuu, hata vijana kwenye maofisi siku hizi suruali zafungiwa kati ya makalio.