Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

𝐑𝐒𝐳𝐒 𝐬𝐒 π›πšπ§π π’?
 
Nyie ndiyo mlikua mnatutisha kuingia vyoo vya shule na uzushi wenu wa majini.
 
Fake P nimemuomba shemeji yako nyumba mpya aweke choo kikubwaaa na sink,na Mimi niwe nawasha mishumaa najiloweka na shower gel,sio kuona tu mambo hayo Nungwi!
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ Hujanifikia mimi niishamwambia nataka ukubwa wa choo uwe nusu ya chumba, 🀣🀣🀣 nikiweka T-Sink zangu na kioo +sehemu ya towel + Candles + na videtergent vingine+toiletry, Nikisema naenda kuoga ni kuoga kweli sio kukoga πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ tumechoka kutamani Nung... #Mtoa mada aachane na hivi vyoo vya kina maimuna
 
Ami Amiiiiin!Mwenyezi Mungu atujaalie....na sie tuoge kama kina Rihanna😁😁
 
si
Tuachane na mambo ya kikopo na ndio🀣🀣
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ Tena ukileta mchezo nitakuachia wewe na huyo jamaa, kuoga na kikopo na ndoo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ Yahweh hapana ilitosha
 
Wanaopata kiharusi chooni wale wote ambao wana shinikizo la damu liko juu na hawajui,na wanafikia kumwagia kichwa maji,hapo inakuwa km umepigwa na radi au shoti ya umeme!acha kupotosha watu Kwa imani za kizamani.
 
Unamzungumziaje huyu?

 
Waganga siku hizi mmekua ni wengi hadi KARAHAAA.....
 
Mahoteli yote duniani sehemu ya kupigia mswaki iko chooni na ndiyo bafuni hukohuko
 
Wanaopata kiharusi chooni wale wote ambao wana shinikizo la damu liko juu na hawajui,na wanafikia kumwagia kichwa maji,hapo inakuwa km umepigwa na radi au shoti ya umeme!acha kupotosha watu Kwa imani za kizamani.
Hapo kifuatacho ni kuanguka,mishipa ya damu inapasuka,damu zinaanza toka masikioni na na puani na mdomoni utasikia,KARUSHIWA JINI
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ Tena ukileta mchezo nitakuachia wewe na huyo jamaa, kuoga na kikopo na ndoo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ Yahweh hapana ilitosha
Shindwaaaaa aisee🀣🀣🀣....plan ni kubwa mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…