Mkwewe Rais Kagame

BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,743
4,227
Natamani kumjua Huyu dogo aliebahatika kumuoa binti mrembo Mtoto wa Kagame.

Bila Shaka anatokea kwny moja ya Familia kubwa nchini Rwanda!
Screenshot_20190928-172938_1.jpeg
 
Kwa K yake ina TV ndani eti nataka kumjua huyu mwanaume aliyemuoa .......ili iweje ? Tafuta hela achana na hawa nyang'au wa kinyaru
 
Kwanza mila zao mbaya hapo lazima baba mkwe apige pipe kutest mitambo ndio akuachie kua na mtoto wa kike kule ni hasara tu ukipewa mahari NG'OMBE 40 siku ya ndoa unatakiwa umpe mkwe wako wa kiume tena ngombe 40 angalia hapo mtoto wa yuko beneti na baba mkwe keshapiga pipe na huyo dogo yuko Beneti na Janeti
 
Hii mijitu mirefu inaoana yenyewe kwa yenyewe sijui watu wafupi kama kina mshana jr wataoa wapi kwa style hii
hata sisi bongo tuna mijitu mirefu sijui wewe unatokea wapi mpaka hukutani na watu warefu, Tanzania.mikoa ya kanda ya ziwa na magharibi kuna mijitu mirefu.nina ndugu wengi wapo ft 6-7. my dear .Tanzania kuna watu warefu sana tu hata masai ni warefu.Hao warwanda ni warefu but hawana nguvu za kucheza kikapu ndio maana sisi tuna hashimu thabiti wao hawana.usi generalize men,kama kwenu ni wafupi sio Tanazania nziuma.Tanzania ina makabila mengi na koo nyingi.Rwanda ina makabila mawili.Njoo nikuoze upate kizazi cha warefu
 
Nije unipe jike refu sio,lakini liwe na mafuta asiwe kama mzee wa 900 itapendeza
 
Back
Top Bottom