ufukunyuku
Senior Member
- Sep 16, 2015
- 199
- 56
Huyu mzeee linamacho ya kondoo
Alikuwa kwa Gasper.M.Mhina afisa TRA wa Temeke anayeishi mbezi makabe, lakini usiku huu anatoroka baada ya kuona Kova kaitoa picha yake Live.
Mwongo mkubwa ----- wewe,Ndiyo maana yake lakini sasa Msomali yupo njiani anatoroka kuelekea Nchi Jirani
Namba ninayo lakini kova tayari anajua kuwa Msomali kasepa yupo njiani anapitia mipaka bubu ya vijijini.
Mwongo mkubwa ----- wewe,
Punguwani wewe,kova angejua asingemkata?
Mwaka huu mtachongeana sana sasa nenda kawasaidie polisi
Jamaa kala konaa
.. minyoo ashatoaa info fulani kuwa huyo msomali analindwa na smbdy Gasper wa tra temeke...haya vyombo husika anzeni naye Gasper
Ovaaa
Hahahahahahah!! Hiyo imetoka yani hii nchi bhana!! Magufuli nilikupenda sana Ila ccm wamekupenda zaidi!! Magaidi yote yalivyo vamia kule Paris almanusura wadakwe kama siyo kujilipua!! Lakini hapa kwetu kumdaka tu mkwepa kodi mnashindwa???? Halafu kesho Mwenye hiyo passport atajitokeza na kusema yeye hausiki kwa namna yoyote ya ukwepaji kodi na wala siyo mfanya biashara!! Hii nchi bhana watu hawapo sirias hata kidogo
Naona watuhumiwa Wa kukwepa kodi, pamoja na jeshi la polisi wanatuchezea sinema,
ambayo mwisho wake ni wao kuwa huru,
Visingizio vinaandaliwa wakuu,
Ni kweli kwa vile huyu ndiye alitoa hayo makontena akikamatwa atataja wamiliki. Katika hali hiyo inaonyesha mapapa nao wana akili kwani akikamatwa atawataja. Uwezekano wa huyo mtu kupotea kama ile ndege ya Malaysia ni mkubwa ili mapapa yasikamatwe (am theorizing)Huyo ni kadagaa tu,Mi papa wanaibeba