Mkwe wee nikupe nini mkwe wangu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,297
Reaction score
38,658
Miss you ma mkwe
 

Attachments

  • mkwe.jpg
    11 KB · Views: 1,116
Kakwamwa na nini?? Au KIAZI cha kuchoma?? Maana hayo macho kapiga FULL LIGHTS kama gari imebeba mgonjwa kwenye foleni!!!
 
Huyu si ndiyo alisemwa hapa JF kuwa ni Beautiful Onyinye?
 
Mh! Usijenifanya usiku wa leo ukawa hauna amani kabisa
 
Ivi jama hujaona picha ya kuweka. Looh, ushindwe wewe na mkwe wako
 
Si ndio wale wanawapaka grisi halafu eti ndo wanaekti kama misukule iliyotolewa kwenye maombezi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…