Mkwawa High School mpo?

Lumumba West ( pamba production) LWP2 Kwa Tozi M (Mwaituke) Wazee wa usafi kwa Afya zetu siyo kwa mashindano. Hahaha mabingwa wa kukaa Love square.

That life bwana hadi biashara za Kobe kwa Wadenish. Na mambo ya bottoms up!!!

Such a wonderful moment.
Baba kadoda aka mwalimu ndosi ( kama sijakosea) bado yupo, yes, ndio, sawa hata mkuu anaelewa, kutana na mwalimu mbabe mwaipaja
 
Shabani west acha iitwe shabani west tu, Pale tulikuwa na ujirani mwema na wenzetu waliokaribu na "The Complex and Cassino"...
 
Nimepiga pale 2003-2005 na Nikarudi chuo pale 2011-2014.Mama masawe anafundisha mawelewele,Makwaya yupo town Iringa.Tende yuko Mbeya,Mbao kastaafu nilimwona dar 2010.Ile dispensary kule mtivila imekua bomba sana.Makanyagio za zamani ni zilipendwa.Mabweni sa ivi ni halls.
 
Nimepiga pale 2003-2005 na Nikarudi chuo pale 2011-2014.Mama masawe anafundisha mawelewele,Makwaya yupo town Iringa.Tende yuko Mbeya,Mbao kastaafu nilimwona dar 2010.Ile dispensary kule mtivila imekua bomba sana.Makanyagio za zamani ni zilipendwa.Mabweni sa ivi ni halls.
Wewe ndio umekaa Mkwawa kwa Kipindi kirefu, na ndio mwenye current updates kwa sasa...
 
Mchanganuo,Shabani robert west inaitwa Hall one kwa sasa na wanakaa wavulana,shebirobi east ni Hall1B na nimeishi hapa nikiwa na 2 year.vyumba ni vizuri na mnalipia kwa semister.Lumumba west ni hall 2A&Bna wanakaa wavulana.Makongoro West ni hall 3A na wanakaa Wasichana na wamama.Makongoro East ni Hall3B na wanakaa warembo wa university.Agrey west ni Hall 4A na wanakaa wadada pia.Agrey east ni Hall4B Napo wanakaa mamiss wa university.Magembe west na east ni Hall5A&B respectively.Na 3 year nilikaa hapa
 
DH upande waliokua wanakaa wavulana kuna bonge la cafeteria.wanauza misosi mbalimbali Na pembeni kwa nje kuna Mgahawa na hata vinywaji kama bia na pombe.DH upande wa wasichana kule ni Lecture room na kuna smartboard na speaker kona zote.Arts block kuna office za madokta na malecturer na Lecture Rooms(LR)'s. Science block kuna semina rooms(SR)'s. Ile office ya viranja mkabala na science block ile ni adminstaration block na Admission house
 
Viwanja vya michezo ni vilevile. AH kwa sasa inaitwa AH Vilevile na sehemu ya Lectures,madisco kama wellcome 1 Years,concerts,matamasha na mikutano.Love squire ipo na watu wanakaaga wakipiga story na madem na final touch kipindi cha mitihani.Pana wafanyakazi wanaofanya usafi mda wote
 
Yapo majengo mapya mengi wakati nagraduate 2014 Yalikua yamekamilika kwa ajili ya PGDE na Masters.Majengo mapya mengi yapo kama unaelekea mlimani kwenda Lugalo au mkabala na DH upande wa mashariki.Walimu nliowakuta pale waliotufundisha advance alikua jamaa mmoja anaitwa Mirambo aka Fanta Magoli.
 
Yapo mabadiliko mengi sana.Hakuna typoid kama zamani tena.Pale ilipokua dispensary kwa sasa wanakaa Auxiliary Policy.Ilipokua office ya Mkuu wa shule ni office ya Public Relation officer,na ilipokua office ya second ni Bank ya Crdb na kuna ATM Pale.Walipokua wanasomea PCM ni Computer Lab na kuna wahudumu mda wote.Geography Room ni Lecture Room
 
Wanachuo wengi wamepanga nje ya chuo.Wengine wanakaa ilala,makanyagio,Flerimo.Na wengi wanaokaa huko wanakua kama wanaishi kimahusiano.Na pia wenye familia hupanga huko.wanaokaa chuo wengi ni 1Year's.Dah kuna mambo mengi sana na mengine ntayaleta nkipata mda.
 
Unamkumbuka Teacher Mwaipaja... kila nikimkumbuka nacheka kwa vituko vyake ...pwaaaaaaaaa!
Nilimsumbua sana huyu mwaipaja karibia wiki 2 ananitafuta bila mafanikio, hatimae akatangaza parade tu nimfate ofisini tu, alivyoniona ofisini alicheka sana na kudai mtu mwenyewe na vituko vyako hauendani na hata mkononi hujai, nenda zako kasome, tukawa marafiki mpaka naondoka, kama atakuwepo lenasco mbilinyi, englibert mpilikilwa naomba waniinbox hawa watu, asante
 
Wanachuo wengi wamepanga nje ya chuo.Wengine wanakaa ilala,makanyagio,Flerimo.Na wengi wanaokaa huko wanakua kama wanaishi kimahusiano.Na pia wenye familia hupanga huko.wanaokaa chuo wengi ni 1Year's.Dah kuna mambo mengi sana na mengine ntayaleta nkipata mda.
Dah mwanangu nasoma comments zako kwa hisia kali sana.
 
Back
Top Bottom