Clouds FM walikaibua Tabora walipoenda kwenye show ya Fiesta! Kalikuwa kachakaramu tu! Kweli watu kama Mumy Baby wanaweza kuwa planners of the state? Hii nchi ngumuHaka si kalikuwa ka dj kanapiga piga kelele pale clouds?
Clouds FM walikaibua Tabora walipoenda kwenye show ya Fiesta! Kalikuwa kachakaramu tu! Kweli watu kama Mumy Baby wanaweza kuwa planners of the state? Hii nchi ngumuHaka si kalikuwa ka dj kanapiga piga kelele pale clouds?
Lingekuwa limefanya kazi yake kama unavyosema basi kutekana kusingeibuka, wala serikali isingekuwa inakopa ipendavyo. Mazingira ya sasa yametengenezwa na hilo bunge unalosema lilikuwa bora.Walifanya deni la taifa kuwa dogo sana hd kiongozi alikuwa anaogopa kukopa ovyo. Walifanya wananchi wajione tuko na wawakilishi wetu bungeni ndo maana kutekana tekana haikuwepo maana bunge lilikuwa linaongea ya wananchi. Hili la sasa limefanya nini?
Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Tabora, Mamy Baby amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi hiyo leo Juni 28, 2025.
Nimeisoma kwa kumaanisha sana yaani mbunge anaongea bungeni Dodoma ila aibu napata mimi wa Kantalamba Rukwa huko😂
Mbna kaukumbatia kabisaa,LolUmeukimbia ukimwi XXL umeamua kuufuata dodoma hahaha
Umeukimbia ukimwi XXL umeamua kuufuata dodoma hahaha
Huyu apewe mana ni mzuriMiaka ya zamani ukiambiwa mtu ni mbunge, akianza kuongea tu, unasema huyu kweli ni mbunge. Siku hizi mtu yeyote anaweza kuwa mbunge, waziri n.k. Kila la heri kwake.
Siyo maarufu unaweza ukawa muuza nyuchi na ukaukwaa ubunge viti maalumSikuizi hamna mchujo, hamna vetting, ukiwa tu maarufu
No wonder kuna watu wa ajabu mle