Weeh na kamati yako ya ndoa, huyu multiple alikuwa mke wa nani kabla hajaanza kujichanganya?
Invisible, kama kuna siku umenipa raha ni leo! Aisee!
Teh.teh teh...!!! akirudi humu tena ntaamini kweli zinamtosha, labda abadili ID
Mkuu kuna kituko hapa ukielewa utavunjika mbavu, kifupi Mzungu Mndali na marry Hunibig imegundulika ni Id za mtu mmoja na zimeunganishwa na kuwa moja ya Marry Hunbig, sasa angalij kwenye huo uzi alivyokuwa anaanzisha mada na kujijibu mwenyewe kabla hajagundulika na kuumbuliwa
hahaha akija tena ntamsifuTeh.teh teh...!!! akirudi humu tena ntaamini kweli zinamtosha, labda abadili ID
Naona mnaanza kujistukia wenyewe!Kuna watu wananiambia na mimi nina id mbili eti wanasema mimi ni buchanan duh
Heheheeeeee...kuomba msamaha kwa kosa usolijua ni wehu ati!!!
Kamwe siwezi kujigeuza mwehu zubedayo_mchuzi!!
hahaha akija tena ntamsifu
Naona mnaanza kujistukia wenyewe!
Subirini bomu lenu very soon....
Usije ukarogwa kijana ukaanza kutuchafulie hewa humu!!
Nina data kibao za kebbys hotel waambie na hao wenzako we are coming...
Nina data kibao za kebbys hotel waambie na hao wenzako we are coming...
Kumbe umezipata eeh!, hii ndo chit chat banaa, tukiamua kitu kinafanyika, hatuna longolongo wala stress, unashangaa ya Kebby's, ya Brajec, Leo tupo hapa pub je.....! sie ni full kujiachia, sio kila siku uko nyuma ya keyboard tuu!!!!
Mkuu zubedayo_mchuzi-
Rejea kiapo chako jana kuwa niombe radhi CC (Kwa kosa nisilo lijua!) la sivyo utanishughulikia kwa sayansi zako ndani ya masaa 24.
Naona ni saa la 26 sasa...vipi,umefikia wapi?
Tunasubiri mheshimiwa!Subirini bomu lenu very soon....
Hii kiboko
teh teh...si unaona kashughulikiwa, sasa hivi kimyaaaaa!!!