Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
Mkuu zubedayo_mchuzi-
Rejea kiapo chako jana kuwa niombe radhi CC (Kwa kosa nisilo lijua!) la sivyo utanishughulikia kwa sayansi zako ndani ya masaa 24.
Naona ni saa la 26 sasa...vipi,umefikia wapi?
C.T.U mwelewa,amekuja mbela wana CC ameomba yaishe.
Upande wako ...mbn muda bdo..ungekuja kuapa huombi.
Msamaha..vita haijaisha
Mbona sielewi elewi!!
Hivi we MzunguMndali unajiamini kitu gani?
Mi nakuangalia tu.
Mbona sielewi elewi!!
Hivi we MzunguMndali unajiamini kitu gani?
Mi nakuangalia tu.
Mkuu kuna kituko hapa ukielewa utavunjika mbavu, kifupi Mzungu Mndali na marry Hunibig imegundulika ni Id za mtu mmoja na zimeunganishwa na kuwa moja ya Marry Hunbig, sasa angalij kwenye huo uzi alivyokuwa anaanzisha mada na kujijibu mwenyewe kabla hajagundulika na kuumbuliwa
E bana mimi kuamukaga muzuuri kabisa mukulu, mambo iko aje pande hizo
Hapa alilog out kwanza akaja kivingine.
Teh.teh teh...!!! akirudi humu tena ntaamini kweli zinamtosha, labda abadili ID