Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini akibeba Boksi

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini akibeba Boksi

Ahahaaa viongozi ktk serikali ya magu wanaingilia kazi zisizo wahusu?sasa kuna haja gani ya kupiga picha na huo mbox?
 
Matege..
Angekua anacheza mpira angekua anapiga sana krosi uyu
 
Sasa kilichobaki ni kubeba jeneza mochwari ili maiti wajue ni kiongozi bora.
 
Huyu alikuwa team Membe..baada ya kupigwa chini na ccm kwenye kura za maoni ya ubunge Rungwe JK akaamua kumpoza na ukuu wa wilaya
 
Huenda alishapitia ubebaji mabox huko ughaibuni.
 
Huyu si ndio alimbeba mwandishi kwenye mafuriko.....???
 
Vijana Tujipange kimaisha. Huu ni zaidi ya utumwa.
 
images


Haaa haaa hizi kazi pasipo na kazi zinawatia kiwewe wasiokuwa na akili.Hapa Novtus Makunga naye kategesha kamchezo kake asijie kusahaulika katika teuzi za Dr Majipu.
 
Back
Top Bottom