Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 575
hahahah naona anatokea pale miyomboni pharmacy....hahahView attachment 333126
Mkuu wetu wa wilaya ya Iringa akiwa amebeba box huku akitizama camera...
hahahah naona anatokea pale miyomboni pharmacy....hahahView attachment 333126
Mkuu wetu wa wilaya ya Iringa akiwa amebeba box huku akitizama camera...
MBA holder.Huyu ni phd holder?
Asije akaja kulia lia badae naye
Kasesera bana ngoja niwapishe wengine maana jamaa huyu aliwahi kuchangia kuhusu katiba mpya mwaka juzi pale UDSM kwenye mdaharo, hoja zake zinafanana na hivyo anavyo fanya.Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh Kasesera baada ya kuonekana amembeba mtu mzima katika mafuriko ya Pawaga,
sasa aingia mtaani kubeba boxView attachment 333131
Mdaharo = mdahaloKasesera bana ngoja niwapishe wengine maana jamaa huyu aliwahi kuchangia kuhusu katiba mpya mwaka juzi pale UDSM kwenye mdaharo, hoja zake zinafanana na hivyo anavyo fanya.
tyeh tehHata jinzi wanavaa zilizopauka ili tufanane nao
angepigwa bahati mbaya.....asingechekeleaKutumikia jamii sawa,sasa show off za nini? Au alipigwa hiyo picha bila kusudi?!
teuz za kubebwa hizo....Huyo nadhani hajielewi na hayajui majukumu yake.!