Huyu ndio Kasesera?View attachment 333126
Mkuu wetu wa wilaya ya Iringa akiwa amebeba box huku akitizama camera...
View attachment 333126
Mkuu wetu wa wilaya ya Iringa akiwa amebeba box huku akitizama camera...
kumbeeTunamjua vizuri hatupi shida
Ni msanii haswa
hahaha kumbe ndo zakee eeh!Ameacha kubeba watu mgongoni??
teh tehIringa Mnasemajeee??? Mmejipanga Mwaka huu mtaisoma.
duuh mpyaKuna taarifa ana cheti cha Mirembe.
Kwa nini mnakosa adabu?View attachment 333126
Mkuu wetu wa wilaya ya Iringa akiwa amebeba box huku akitizama camera...