Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini akibeba Boksi

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini akibeba Boksi

Eti kubeba box ni hapa kazi tu,hayo DC ni misifa by nature.... Je hao wanao beba magunia 24/7 tutawaambiaje?
Tatizo hayo kasesera ni mtu anayependa sofa tokea zamani hata huo UDC kaupata kimisifasifa
Kasesera aka dibo aka mchezaji wa kikapu zamani

Ovaaa
Hivi Dibo .....alikuwa kwenye movie gani Tena ..umenikumbusha mbali ...ilikuwa JUICE AU POETIC JUSTICE .......au nafikri Dibo alicheza anamtaka Janet Jackson
Au SET IT OFF ya Queen LA ???

Diboooo alikuwa mchizi bana haikuwa mtu wa kujipendekeza
 
Iringa Mnasemajeee??? Mmejipanga Mwaka huu mtaisoma.
Kuna siku alichenjiana na Msigwa, mbunge wa huko iringa Mjini. Huyu Mtumishi wamlete Arumeru. Huku kazi za mikono ATAFANYA. Nikiichunguza hiyo picha naona ALIPIGA PICHA akiwa ameweka Box kichwani.Baada ya picha ALILIEKA chini. Hakika HAKUWA AMEBEBA box....
 
yaaani huku kusubiri kuteuliwa kunavyochelewa TUTASHUHUDIA MENGI
 
Hivi Dibo .....alikuwa kwenye movie gani Tena ..umenikumbusha mbali ...ilikuwa JUICE AU POETIC JUSTICE .......au nafikri Dibo alicheza anamtaka Janet Jackson
Au SET IT OFF ya Queen LA ???

Diboooo alikuwa mchizi bana haikuwa mtu wa kujipendekeza
Dibo alikuwa kwenye movie ya ice cube ya Friday
Huyu kasesera sjui kwani ni walikuwa wanamuita dibo...ila kpindi kile nilikuwa na mchongo tunaufatilia na yeye alikuwa karibu na mkurugenzi wakati ile Malay clearing/forwarders dibo alikuwa anatuwekea kauzibe Sana sisi masela wkt ule alafu mabwana wadogo Sana....tusionane na bosi huyu...mbaniaji Fulani alafu kimbelembele Sana
Ilikuwa kutwa jioni lazima umuone viwanja vya kikapu tanesco anapasha....hehehehe
 
Anasaka KIKIIIII huyo pia nimtu mzima sijui kajifunzia wapi vituko hivyo....
 
Labda alikuwa mbeba maboksi ughaibuni
Nyani Ngabu rais wa wabeba maboksi atakuwa anamjua huyu DC
 
hawa jamaa wanasifa za ukoo mdogo wake jonathan naye hivihivi baba zima la miaka 45 kapanga kachumba kamoja kwenye servant kota mikocheni kwa laki mbili eti anadai anaishi mikocheni,kwa umri huo si ukapange nyumba zima kimara kwa bei hiyo hiyo,huyu DC alikuwa kwenye chama cha basketball alichofanya ni kuuua mchezo wa basket nchini
 
Huyu jamaa anapenda kiki sana
Kila kitu anachofanya lazima aweke kwenye social media..

Nadhan amekosa mshauri au washauri wake ni wale wa mbunge wetu wa Iringa aliyeshindwa.....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Dibo alikuwa kwenye movie ya ice cube ya Friday
Huyu kasesera sjui kwani ni walikuwa wanamuita dibo...ila kpindi kile nilikuwa na mchongo tunaufatilia na yeye alikuwa karibu na mkurugenzi wakati ile Malay clearing/forwarders dibo alikuwa anatuwekea kauzibe Sana sisi masela wkt ule alafu mabwana wadogo Sana....tusionane na bosi huyu...mbaniaji Fulani alafu kimbelembele Sana
Ilikuwa kutwa jioni lazima umuone viwanja vya kikapu tanesco anapasha....hehehehe

Hivi ile Safari ya PAZI kwenda US ziara ya michezo [basketball] RK naye alikuwa kwenye squad ....na kina DULLA ...??? MALAY alijitoa sana kusaidia basket ball ...nashangaa ile nishani ya miaka 50 ya uhuru wanamichezo hawakumkumbuka ....
 
Sifahamu kama rk alienda ila kwenye pazi naona alikuwa mdau Sana.....maana wakati ule kila nkienda kufatilia mchongo yangu pale nilikuwa namkuta....kweli Malay alijitoa Sana kusaidia pazi hadI kuwapa jamaa ajira ktk kampuni yake ile

Back
Top Bottom