Mkuu wa wilaya ya Hai ana PhD feki!

mkuu shkamoo..hahaaa kweli JK mamabo ya elimu hayamkoseshi usingizi kabisaaaaa.kwanza anawashangaa wanaopiga piga kelelee
Mkuu Kigogo Salama
Habari Ya Siku Tele
Uliadimika Sana

Nchi Hii Imejaa Mikwara Sana
Wasomi Ndiyo Hao Ambao Ni Fake
Tazameni Sasa Hivi Mmoja
Anawaweka Watu Ndani Masaa 48
Nchi Inahitaji Haa
Watanzania Mniombee
Fyatueni Watoto
Sijaribiwi
Jeshi
Police
Nawapenda Na Maslahi YENU Nitayalinda
 
Back
Top Bottom