pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,636
- 6,261
Hayo ndiyo wanayoweza, wakiulizwa viwanda wanaanza kufanya sensa ya ma Brenda majumbani na kutangaza kuwa kuna viwanda vya kukamua juisi milioni mbili, kumbe ni Brenda za watu majumbani.
Probable you missed a point. Recount past Portugale elections. People do sympathises with such victime in such situazion. I ho condermo this ba-Barricck act in the highestos terms pozsible and I mean it is totale non e acceptabile in today ccivilizato worldo or il MondoKwa hiyo ukiharibiwa Mali zako unatafutwa huruma ya kura,Watanzania tumefikia that low.Chuki na visasi kuna siku atakuja kujutia.
hahahahah ngoja niingie NBSHayo ndiyo wanayoweza, wakiulizwa viwanda wanaanza kufanya sensa ya ma Brenda majumbani na kutangaza kuwa kuna viwanda vya kukamua juisi milioni mbili, kumbe ni Brenda za watu majumbani.
NOTEDKuna siku hata haya watayaruka kwamba siyo wao waliofanya.
Chuki utawala huu umezidi.
Ngozi nyeupe tunaiogopa lingekuwa la mzungu wangemfata kwa adabu na kumuomba aondokeHuu ni upumbavu. Wakati tunahangaika na Acacia kutuibia na kutuacha malofa, sasa sisi wenyewe tunapeana ulofa kwa sababu za kijinga sana zenye harufu ya siasa uchwara. Pumbaf kabisa.
Tuhabarishe mkuu! Ina maana kuwa aliliiba hilo shamba?Ndiyo Viwanda lkn siyo Viwanda vya Wizi!