Mkuu wa Wilaya ya Hai, aamuru shamba la Freeman Mbowe la Mbogamboga liharibiwe, Mbowe alaani!

kawa kiongozi wa kuigwa acha ma ndondocha ya ccm
 
Mtu hatari sana huyu kwa mshikamano wa Taifa letu kutokana na ubaguzi wake, undumilakuwili na chuki za kutisha dhidi ya wapinzani.

Yale yale ya Bomobomoa ya Dar/Kimara vs Mwanza. Chuki iliyojaa pomoni.
 
Badala ya kushirikiana na kusaidiana kujengea uchumi wa nchi viongozi wetu wako mstari wa mbele kurudishana nyuma kimaendeleo. Siasa hizi ndizo zinazopelekea chuki na baadaye vita vya wenyewe kwa wenyewe.


Rais Magufuli akikagua shamba la dada yake.



Kiongozi wa upinzani Mh. Freeman Mbowe akikagua shamba lake.


Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Gellasius Byakanwa aking'oa miundombinu ya shamba la Mbowe.


Askari waking'oa mabomba ya maji kwenye shamba la Mbowe.

Hii ni hali halisi ya watawala na viongozi walio wengi katika bara la Afrika pindi wapatapo madaraka.
 

Attachments

  • FB_IMG_1535345676745.jpg
    70.1 KB · Views: 24
  • mbowe.jpg
    27.4 KB · Views: 26
Viongozi wa aina hii hawatakiwi kabisa kushika nafasi za uongozi kwenye nchi hii,sema tu ndio hivyo...!
 
Huyu ndio balozi mpya ! Hii ni aibu kubwa sana kwa mamlaka ya Uteuzi , Labda tuambiwe Rais anapewa Majina na watu wengine walio juu yake

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…