Sasa wewe nenda udakwe na changu wote mnaonyeshwa kwenye media kwa ile style ya kamanda muroto
Unapozuia maji mwenye mfereji wake, ukipatwa na mafuriko nyumbani kwako usilalamike.Hii kuleta wakuu wa wilaya kutoka mikoani kuja kuongoza jiji la dar inakuaga nuksi sana.
Wanakuaga washamba wa jiji ...wanaleta hulka za mikoani hapa mjini.
Makahaba wanasaidia sana ..tuwape credits for that!
Tatizo viongozi wengi wa kuja hivyo wana mihemko na huu mji!Unapozuia maji mwenye mfereji wake, ukipatwa na mafuriko nyumbani kwako usilalamike.
Wacha wawazuie ngoma ihamie kwa mabint wa mitaani ili waambulie wajukuu wasio na baba na maradhi....maana machangu wanajitambua kwy kujikinga. Beki tatu ni mwendo wa fasta hawajui hata siku zao.