Sasa kwa sababu mkubwa upo hapa, mimi nina kero ya usambazaji wa umeme kuelekea kule mji mpya karibu na chuo cha ufundi St Joseph...mbona mradi unaota mbawa nipo hapa tokea 2007 mpaka leo ni hadithi, mkubwa tusaidie na hili...samahani kwa kuchanganya hoja!