Mkuu wa wilaya Hai-Novatus Makunga kafanya alichoshindwa M/kit wa CCM Hai

Sasa kwa sababu mkubwa upo hapa, mimi nina kero ya usambazaji wa umeme kuelekea kule mji mpya karibu na chuo cha ufundi St Joseph...mbona mradi unaota mbawa nipo hapa tokea 2007 mpaka leo ni hadithi, mkubwa tusaidie na hili...samahani kwa kuchanganya hoja!
 
Mimi nilichoongelea ni Mwenyekiti wa CCM kufany ajaribio likagoma,akachukua polisi boma wengine wakagoma.Akamwita Nova ambaye kazi yake rasmi ni kulinda chama ktk wilaya yake.Otherwise sijui kazi nyingine kama zinamsaidia kwa lolote ku survive politically.

Huyu Jamaa kwa vile bado ana influence ktk media kaenda play kamikaze kwa staili yake.Sijasema kwa vile ni CCM ingawa this time CCM ndio wanachanganya office za serikali na utendaji wa magamba.Hata ingekuwa Chadema ningesema the same.

sawa bana
 
Novatus makunga alioa fasta fasta ili apewe ukuu wa wilaya.kweli magamba mna mambo!
 
Novatus makunga alioa fasta fasta ili apewe ukuu wa wilaya.kweli magamba mna mambo!

Ebu nikuulize nani alikueleza kuwa ili kuteuliwa kiwa mkuu wa wilaya ni lazima uoe ? Mbona wapo ambao hawajaoa na wengine ndiyo wapo katika process ? Lakini pia kukujibu kama nilivyowajibu wengi ni kwamba mimi nilibariki tu ndoa ma sheria ukiishi na mtu zaidi ya miezi sita ni mke,hakuna aliyekuwa anajua hilo,nimeishi miaka kumi na tano peaceful ndani ya familia,lakini ndiyo tabia yetu watanzania kuishi kwa kuzua vitu bila kufanya utafiti,tafiti halafu kwanza
 
Back
Top Bottom