Mkuu wa wilaya Dodoma atekwa na wanafunzi

Mkuu wa wilaya Dodoma atekwa na wanafunzi

mkuu sijasema kwamba kakosea kuwaomba radhi wahadhiri, tatizo ni mbinu aliyotumia kwamba anaumwa malaria, naamini ni usanii kwani kesho ana uhakika gani atakuwa na afya? Swala ni kwamba alizidiwa na mambo na alitakiwa kuwa mkweli, nadhani angeeleweka vema zaidi kuliko alivyofanya.

Kuna evidence kwamba hana malaria. Hata kuwatajia malaria ni ihsani angeweza akasema anamatatizo ya kiafya. Suala la kesho ni jingine, tusubiri tuone na badala ya kutuhumu, kushutumu na kudhani. Why cannt you guys give him the benefit of doubt halafu muone. Kwenye hili nakueleza na kesho Pinda atawaeleza kuwa si suala la uongozi wa UDOM km mnavyoamini mpaka sasa.
 
safi kwa kutujuza, UDOM mmefanya vyema,kaza kamba hapa mlipofikia pazuri. VUTA ZAIDI hakuna kurudi nyuma, mpaka mnyanyasaji MRACHA AONDOKE
 
Kuhusu wale wakuu wa mikoa na wilaya waliotekwa walikuja kukombolewa baadae na polisi na kurudi mjini.
 
Kuna evidence kwamba hana malaria. Hata kuwatajia malaria ni ihsani angeweza akasema anamatatizo ya kiafya. Suala la kesho ni jingine, tusubiri tuone na badala ya kutuhumu, kushutumu na kudhani. Why cannt you guys give him the benefit of doubt halafu muone. Kwenye hili nakueleza na kesho Pinda atawaeleza kuwa si suala la uongozi wa UDOM km mnavyoamini mpaka sasa.

nimekusoma mkuu, ila lazima mimi na wewe tukubaliane kwamba viongozi wetu wengi wa serikali huwa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi na ya maana, ndio maana suluhu hazipatikani mapema.
 
Thats what happen when wananchi wanadai haki na kutopewa..... Chaos erupts people's power, they eventually take it themself. right or wrong
Kwa hiyo wakipewa wanacho kitaka, washtakiwe kwa utekaji nyara, au sio?
 
Mwisho wa mwanzo wa siasa kuwa kiongozi wa taaluma zingine umewadia.
.
 
if diplomacy fails thats what happens unfortunately even innocent ones suffer
hayo ndiyo waliyoyataka yatolkee kwa kumuacha kiongozi mbovu, sasa acha atolewe kwa nguvu na mbwebwe, nakuunga mkono Voice of reason
 
Ndg wanajamii, nina habari za uhakika mkuu wa wilaya wa Dodoma ametekwa na msafara wake na wanafunzi wa chuo cha elimu, wakimtaka waziri mkuu Pinda aje na kuondoka na makamu mkuu wa chuo fedha na utawala Mlacha.

Waziri mkuu alikitembelea UDOM tangu mchana lakini mpaka sasa ameshindwa kukutana na makundi kadhaa ya wana UDOM hususa Wanataaluma ambao wapo kwenye mgomo baridi tangu J3.

Wanafunzi hao wametoa upepo msafara wa mkuu wa wilalaya na kuziba kioo cha mbele kwa mabango huku wakipiga kelele kumuomba Pinda aje.

Nitazidi kuwapasha...

Ya Tunisia yanakuja Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Saidi Mwema yuko wapi na risasi za moto????????????????????????????????????/
 
MLACHA must go ndio njia pekee ya kurejesha amani UDOM huyu jamaa ni kikwazo.
 
Back
Top Bottom