Mkuu wa shule awaumiza vichwa viongozi jimboni kwa naibu spika!!

B

BRAND

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Messages
277
Likes
108
Points
60
B

BRAND

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2013
277 108 60
Ukistaajabia ya musa utayaona ya filauni,sasa nimeanza kuamini usemi huu! Jamani tanzania nchi yangu ina vituko vilivyo pitiliza! Mkuu wa shule ya sekondari ya kata iitwayo ndalibo sekondari anaeitwa lucas masanzu anawaumiza vichwa viongozi wa elimu walayani kongwa mkoani dodoma kwa mambo yake yafuatayo!habari za kuamini kutoka kwa wasamalia wema eneo inapopatikana shule na nilizozithibitisha mimi kwanjia zangu na pia zisha andikwa gazetini mwezi mmoja uoputa zinatiririka kama ifuatavyo!!!kwanza kabisa alikula pesa za wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka wa jana ilingulika baada ya matokeo kutoka kwa mara ya kwanza kabla ya kufutwa na serikali,baadhi ya wanafunz waliandamana hadi shuleni wakiwa na wazazi wao,alipobanwa sana alikri makosa na kuahidi kulipa fedha hizo baraza la mitihani tena na faini juu kwa mujibu wa baraza la mitihani pindi matokeo yanapo kuwa yametoka!huyo mkuu wa shule alilipa na matokeo yakatoka!! Kali kuliko yote iliyonifanya nilete huu uzi ni hii hapa!viongozi wa elimu walipo fanya utafiti waligundua kuwa amekula tena pesa za ada za kidato cha nne wa mwaka wanaotarajia kufanya mtihani safari. hii amekula na wale wa kidato cha pili alipoulizwa alijibu kama alivyotaka tena kwa ujasiri! Chakushangaza zaidi alipo letewa barua ya kuondolewa ukuu wa shule aligoma na kukataa kukabidhi ofisi kwa mkuu mpya,wiki iliyopita viongozi wa elimu mara mbili walienda shuleni hapo bila ya mafanikio tena wakiwa na mkuu mpya!raia wanajiuliza anategemea nini kama anaweza kufanya hivyo mkuu huyo mwenye diploma tu ya ualimu?pia viongozi watafanyaje tena?wataenda tena kumtoa au ndo wameshindwa na mtu huyo anaeweza kumjibu mwajiri wake apendavyo!NAIPENDA NCHI YANGU TANZANIA NAWACHUKIA VIONGOZI WEZI!!
 
Silly

Silly

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
534
Likes
41
Points
45
Silly

Silly

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
534 41 45

Na wewe ni nani katika hao viongozi,..
 
1

19don

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2011
Messages
572
Likes
18
Points
35
1

19don

JF-Expert Member
Joined May 13, 2011
572 18 35

kwa lugha yenu ya kigogo hapo kwenye blue ni majani( babada ya kusafisha shamba kabla ya kuchoma) kama sikosei so inawezekana mkuu anakula majaji aka wida, aka msuba, aka sigara zembe
 
M

mob

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2009
Messages
2,223
Likes
770
Points
280
M

mob

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2009
2,223 770 280
dodoma kuna mambo stendi ilihamishiwa nane nane soon watu wakarudi town hakuna kilichochukuliwa ok stend ya kibaigwa imekufa then mnategemea nini
 
S

stambuli junior

Member
Joined
Jul 16, 2012
Messages
7
Likes
0
Points
0
S

stambuli junior

Member
Joined Jul 16, 2012
7 0 0
kwa sasa ameondoka ila aliyepo nae kimeo
 
Kitaturu

Kitaturu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
4,791
Likes
3,362
Points
280
Kitaturu

Kitaturu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
4,791 3,362 280
Kwa sasa mjadala nyeti na muhimu zaidi ya kila kitu ni KATIBA MPYA!!.. Sasa wewe unaanzisha immaterial discussion hapa juu ya mwalimu mmoja wa kashule ka- kata.Atarudisha tu hiyo hela ya mitihani kwa sababu wanafunzi hao ni lazima wafanye mtihani!!.After all hela hailiwi labda aliibadilishia matumizi na kuzipeleka ktk mpango wa BIG RESULT NOW ktk shule yake.......ndiyo maana huwa analipa !!. Peleka hii kitu kwenye Jukwaa la Elimu ijadiliwe huko kama ina mashiko

Pia inawezekana kabisa wewe mwenyewe una bifu na huyo jamaa ndo maana umekuja na lugha ya "AMEKULA HELA" kana kwamba fedha inatafunwa kama biscuit!!
 
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
5,102
Likes
40
Points
135
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
5,102 40 135
mkuu edit basi kwa kuweka paragraph, kwani inaumiza machoo
Ukistaajabia ya musa utayaona ya filauni,sasa nimeanza kuamini usemi huu! Jamani tanzania nchi yangu ina vituko vilivyo pitiliza! Mkuu wa shule ya sekondari ya kata iitwayo ndalibo sekondari anaeitwa lucas masanzu anawaumiza vichwa viongozi wa elimu walayani kongwa mkoani dodoma kwa mambo yake yafuatayo!habari za kuamini kutoka kwa wasamalia wema eneo inapopatikana shule na nilizozithibitisha mimi kwanjia zangu na pia zisha andikwa gazetini mwezi mmoja uoputa zinatiririka kama ifuatavyo!!!kwanza kabisa alikula pesa za wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka wa jana ilingulika baada ya matokeo kutoka kwa mara ya kwanza kabla ya kufutwa na serikali,baadhi ya wanafunz waliandamana hadi shuleni wakiwa na wazazi wao,alipobanwa sana alikri makosa na kuahidi kulipa fedha hizo baraza la mitihani tena na faini juu kwa mujibu wa baraza la mitihani pindi matokeo yanapo kuwa yametoka!huyo mkuu wa shule alilipa na matokeo yakatoka!! Kali kuliko yote iliyonifanya nilete huu uzi ni hii hapa!viongozi wa elimu walipo fanya utafiti waligundua kuwa amekula tena pesa za ada za kidato cha nne wa mwaka wanaotarajia kufanya mtihani safari. hii amekula na wale wa kidato cha pili alipoulizwa alijibu kama alivyotaka tena kwa ujasiri! Chakushangaza zaidi alipo letewa barua ya kuondolewa ukuu wa shule aligoma na kukataa kukabidhi ofisi kwa mkuu mpya,wiki iliyopita viongozi wa elimu mara mbili walienda shuleni hapo bila ya mafanikio tena wakiwa na mkuu mpya!raia wanajiuliza anategemea nini kama anaweza kufanya hivyo mkuu huyo mwenye diploma tu ya ualimu?pia viongozi watafanyaje tena?wataenda tena kumtoa au ndo wameshindwa na mtu huyo anaeweza kumjibu mwajiri wake apendavyo!NAIPENDA NCHI YANGU TANZANIA NAWACHUKIA VIONGOZI WEZI!!
 
K

kkarumekenge

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Messages
1,711
Likes
672
Points
280
Age
57
K

kkarumekenge

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2013
1,711 672 280

Yote yanawezekana Tanzania. Hebu inyake hii. Huko Mwanza, Shule ya Sekondari Nsumba mwanafunzi akitaka kuhamia shule hiyo lazima aende na mifuko saba ya saruji (cement). Bado, hebu subiri, saruji hiyo lazima inunuliwe kutoka duka ambalo limeteuliwa na uongozi wa shule hiyo. Ukipeleka saruji uliyonunua kutoka maduka mengine imekula kwako, haipokelewi. Pia usafiri wa kuipeleka saruji shuleni hapo unatolewa na shule. Kivipi, sikiliza; Shule ina gari binafsi ndilo huyo mwanafunzi mpeleka saruji lazima alikodi pia, vinginevyo saruji hiyo haipokelewi. Kama ndoto vile!!! Majanga, majanga!!!
 
L

LOVI MEMBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Messages
1,120
Likes
10
Points
135
L

LOVI MEMBE

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2012
1,120 10 135
ukistaajabia ya musa utayaona ya filauni,sasa nimeanza kuamini usemi huu! Jamani tanzania nchi yangu ina vituko vilivyo pitiliza! Mkuu wa shule ya sekondari ya kata iitwayo ndalibo sekondari anaeitwa lucas masanzu anawaumiza vichwa viongozi wa elimu walayani kongwa mkoani dodoma kwa mambo yake yafuatayo!habari za kuamini kutoka kwa wasamalia wema eneo inapopatikana shule na nilizozithibitisha mimi kwanjia zangu na pia zisha andikwa gazetini mwezi mmoja uoputa zinatiririka kama ifuatavyo!!!kwanza kabisa alikula pesa za wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka wa jana ilingulika baada ya matokeo kutoka kwa mara ya kwanza kabla ya kufutwa na serikali,baadhi ya wanafunz waliandamana hadi shuleni wakiwa na wazazi wao,alipobanwa sana alikri makosa na kuahidi kulipa fedha hizo baraza la mitihani tena na faini juu kwa mujibu wa baraza la mitihani pindi matokeo yanapo kuwa yametoka!huyo mkuu wa shule alilipa na matokeo yakatoka!! Kali kuliko yote iliyonifanya nilete huu uzi ni hii hapa!viongozi wa elimu walipo fanya utafiti waligundua kuwa amekula tena pesa za ada za kidato cha nne wa mwaka wanaotarajia kufanya mtihani safari. Hii amekula na wale wa kidato cha pili alipoulizwa alijibu kama alivyotaka tena kwa ujasiri! Chakushangaza zaidi alipo letewa barua ya kuondolewa ukuu wa shule aligoma na kukataa kukabidhi ofisi kwa mkuu mpya,wiki iliyopita viongozi wa elimu mara mbili walienda shuleni hapo bila ya mafanikio tena wakiwa na mkuu mpya!raia wanajiuliza anategemea nini kama anaweza kufanya hivyo mkuu huyo mwenye diploma tu ya ualimu?pia viongozi watafanyaje tena?wataenda tena kumtoa au ndo wameshindwa na mtu huyo anaeweza kumjibu mwajiri wake apendavyo!naipenda nchi yangu tanzania nawachukia viongozi wezi!!
hivi unaamini wamekwenda mara mbili kagoma kuondoka ., sio hivyo alikula nao saizi wanataka kumpakazia yeye pekee yake ndo maana wamekuja mara 2 bila mafanikio nafikiri kama wasingekuwa washirika angeondoka hata kwa kuletewa polisi sisi kinashindikana kitu gani/? Huoni hawa majibu yapo wazi tu
 
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
13,471
Likes
5,357
Points
280
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
13,471 5,357 280
hivi unaamini wamekwenda mara mbili kagoma kuondoka ., sio hivyo alikula nao saizi wanataka kumpakazia yeye pekee yake ndo maana wamekuja mara 2 bila mafanikio nafikiri kama wasingekuwa washirika angeondoka hata kwa kuletewa polisi sisi kinashindikana kitu gani/? Huoni hawa majibu yapo wazi tu
wakuu huwa hawali hela pekee yao wanajua siri nyingi sana hao ndo maana ikitokea migomo ya walimu ni nadra sana wao kugoma
 
Forum statistics

Threads 1,274,097
Members 490,586
Posts 30,500,880