Mzee ile ngoma ilikuwa nzito na baadaye Netanyahu aliunguza LIVE kwenye Bunge lake Jana alikuwa anapigiwa makofi kila dakika na msimamo kauweka Obama hawezi kugusa pale pa moto kaka
angekuwa anakunywa walahi angekuwa 'zezeta',maana km kweli kile kichwa ni pure hamna kilaji na hakuna 'kitu',hakyanan sipati picha km angekuwa anakata kilaji..!