Mkuu wa Mkoa wa Tabora, mtu wa watu, na ujumbe wa Valentine.

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,797
2,000
Nimeona clip ya Mkuu wa Mkoa wabTabora, Aggrey Mwanri, akicheza bao na kula gahawa kwa kashata na wananchi kijiweni huko Tabora.
Hii imenigusa, imenikumbusha viongozi tuliowahi kuwa nao miaka ya Mwalimu.
Uongozi si kujitenga na wananchi.

Big up Aggrey Mwanri na ujumbe wako wa Valentine.
Hizi tunaita sifa za kijinga.
 

Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,755
2,000
Kwakweli nampenda sana huyu Mzee. Kiongozi unaongoza watu ambao unapaswa kuwa mfano kwao.

Mwanri anatufundisha sio kila wakati tuwe serious sana na maisha, nyakati nyingine tunapaswa kufurahi na wengine kama hivyo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
26,693
2,000
Kwakweli nampenda sana huyu Mzee. Kiongozi unaongoza watu ambao unapaswa kuwa mfano kwao.

Mwanri anatufundisha sio kila wakati tuwe serious sana na maisha, nyakati nyingine tunapaswa kufurahi na wengine kama hivyo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ontario yuko wapi sis?
 

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
7,906
2,000
hhahahahhahahahha Mwanri hatar eti unaoa then baada ya mwaka mmoja unagundua hujaoa mke ila umeoa kicheche...
 

Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,755
2,000
Ontario yuko wapi sis?
Mwanaume kumuandama mwanamke tokea mwaka 2017 ni useng*

Ungekuwa mwanamke mwenzangu ningekuelewa... ila mwanaume unanipa mashaka sana tena hivi unavyomuulizia mwanaume mwenzio.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
26,693
2,000
Mwanaume kumuandama mwanamke tokea mwaka 2017 ni useng*

Ungekuwa mwanamke mwenzangu ningekuelewa... ila mwanaume unanipa mashaka sana tena hivi unavyomuulizia mwanaume mwenzio.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ladyboss mbona umekua mkali kwa swali rahisi tu?

Ontario yuko wapi?

Ujue jengo la Jangid pale limetuachia machungu sana.
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
26,693
2,000
Ni kweli, Nyerere aliishi kwa mfano paoja na wananchi.
Nkurunzinza alicheza mpira na wananchi wake jamaa mmoja akamchezea rafu kiaina akawekwa ndani fasta.

Kwny documentary ya Idd Amini niliona jamaa anashindana na watu kuogelea kwny swimming pool ikabidi wamuachie tu Idd Amin ashinde maana....

Sijajua ulikua ukimshinda Nyerere kwny draft anakufanya nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom