Mkuu wa Mkoa wa Tabora, mtu wa watu, na ujumbe wa Valentine.

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,302
24,143
Nimeona clip ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, akicheza bao na kula gahawa kwa kashata na wananchi kijiweni huko Tabora.

Hii imenigusa, imenikumbusha viongozi tuliowahi kuwa nao miaka ya Mwalimu.

Uongozi si kujitenga na wananchi.

Big up Aggrey Mwanri na ujumbe wako wa Valentine.
 
Attachments

  • VID-20190214-WA0019.mp4
    5 MB · Views: 29
Nimeona clip ya Mkuu wa Mkoa wabTabora, Aggrey Mwanri, akicheza bao na kula gahawa kwa kashata na wananchi kijiweni huko Tabora.
Hii imenigusa, imenikumbusha viongozi tuliowahi kuwa nao miaka ya Mwalimu.
Uongozi si kujitenga na wananchi.

Big up Aggrey Mwanri na ujumbe wako wa Valentine.

Hizi tunaita sifa za kijinga.
 
Kwakweli nampenda sana huyu Mzee. Kiongozi unaongoza watu ambao unapaswa kuwa mfano kwao.

Mwanri anatufundisha sio kila wakati tuwe serious sana na maisha, nyakati nyingine tunapaswa kufurahi na wengine kama hivyo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ontario yuko wapi sis?
 
hhahahahhahahahha Mwanri hatar eti unaoa then baada ya mwaka mmoja unagundua hujaoa mke ila umeoa kicheche...
 
Ontario yuko wapi sis?

Mwanaume kumuandama mwanamke tokea mwaka 2017 ni useng*

Ungekuwa mwanamke mwenzangu ningekuelewa... ila mwanaume unanipa mashaka sana tena hivi unavyomuulizia mwanaume mwenzio.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwanaume kumuandama mwanamke tokea mwaka 2017 ni useng*

Ungekuwa mwanamke mwenzangu ningekuelewa... ila mwanaume unanipa mashaka sana tena hivi unavyomuulizia mwanaume mwenzio.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ladyboss mbona umekua mkali kwa swali rahisi tu?

Ontario yuko wapi?

Ujue jengo la Jangid pale limetuachia machungu sana.
 
Mbona Nyerere alikuwa charming kama huyo Mwanri? Mara nyingi alipenda kukaa vijiweni na kupiga soga kama hivyo.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ni kweli, Nyerere aliishi kwa mfano paoja na wananchi.
 
Attachments

  • th.jpeg.jpg
    th.jpeg.jpg
    28.8 KB · Views: 23
Ni kweli, Nyerere aliishi kwa mfano paoja na wananchi.
Nkurunzinza alicheza mpira na wananchi wake jamaa mmoja akamchezea rafu kiaina akawekwa ndani fasta.

Kwny documentary ya Idd Amini niliona jamaa anashindana na watu kuogelea kwny swimming pool ikabidi wamuachie tu Idd Amin ashinde maana....

Sijajua ulikua ukimshinda Nyerere kwny draft anakufanya nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom