Mkuu wa Mkoa wa Tabora eleza kwanini Hakuna mafuta hapo leo hii?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,622
15,950
Haya ndio mambo kila siku Rais anasema. Linatokea tatizo viongozi mpo lakini mmekaa kimya. Leo tumeambiwa Tabora hakuna mafuta shughuli za kiuchumi zitafanyikaje?

Mkoa una maafisa kutoka kila sekta mpaka usalama wa Taifa kwanini wananchi wapate adha ya mafuta? Hili linataka kuwa donda ndugu kila ikikaribia jumatano ya mwanzo wa mwezi wafanyabiashara wanazuia huduma ya mafuta wanaoteseka ni wananchi.

Chukuweni hatua kama hamuwezi wacheni ofisi za umma watu wengine waziendeshe.

Nakuomba Mh. Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati hili jipu uanze nalo hatuwezi kuendesha nchi kwa namna hii.
 
Una amuru Kama nani au ukishiba makande ndo tabia Yako? Mafuta hayapo Kama kwenu yanapatikana shukuru, muache mkuu was mkoa ale maisha.
 
Wewe Ndio mpumbavu au unafikiri biashara ya mafuta ni Kama karanga kwamba mkuu WA mkoa atakuwa na mandate nayo. Mafuta ni mchakato ukipata sema ahsante maana kwasasa nchi Haina mafuta.
Kwahiyo nchi inaishiwa mafuta kila ikikaribia tarehe ya kutangazwa bei mpya?
 
Haya ndio mambo kila siku Rais anasema. Linatokea tatizo viongozi mpo lakini mmekaa kimya. Leo tumeambiwa Tabora hakuna mafuta shughuli za kiuchumi zitafanyikaje?

Mkoa una maafisa kutoka kila sekta mpaka usalama wa Taifa kwanini wananchi wapate adha ya mafuta? Hili linataka kuwa donda ndugu kila ikikaribia jumatano ya mwanzo wa mwezi wafanyabiashara wanazuia huduma ya mafuta wanaoteseka ni wananchi.

Chukuweni hatua kama hamuwezi wacheni ofisi za umma watu wengine waziendeshe.

Nakuomba Mh. Naibu waziri mkuu na wazori wa nishati hili jipu uanze nalo hatuwezi kuendesha nchi kwa namna hii.
Samia anataka kuua Tanganyika ili zanzibar ipae. Samia ni pandikizi la zanzibar.
 
Haya ndio mambo kila siku Rais anasema. Linatokea tatizo viongozi mpo lakini mmekaa kimya. Leo tumeambiwa Tabora hakuna mafuta shughuli za kiuchumi zitafanyikaje?

Mkoa una maafisa kutoka kila sekta mpaka usalama wa Taifa kwanini wananchi wapate adha ya mafuta? Hili linataka kuwa donda ndugu kila ikikaribia jumatano ya mwanzo wa mwezi wafanyabiashara wanazuia huduma ya mafuta wanaoteseka ni wananchi.

Chukuweni hatua kama hamuwezi wacheni ofisi za umma watu wengine waziendeshe.

Nakuomba Mh. Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati hili jipu uanze nalo hatuwezi kuendesha nchi kwa namna hii.
Ccm ni sehemu ya tatizo, imeshachoka kitambo
 
Who is Mkuu wa Mkoa? Mbona mnajitoaga ufahamu sana? Mkuu wa mkoa anajua nini kuhusu Biashara ya mafuta? Anajua hata yanavyo agizwa?
 
Haya ndio mambo kila siku Rais anasema. Linatokea tatizo viongozi mpo lakini mmekaa kimya. Leo tumeambiwa Tabora hakuna mafuta shughuli za kiuchumi zitafanyikaje?
Huyo anayesema hayo yeye anafanya nini ? Au ndio mwendo wa kulaumu wengine bila kujitafakari mwenyewe ?
Mkoa una maafisa kutoka kila sekta mpaka usalama wa Taifa kwanini wananchi wapate adha ya mafuta? Hili linataka kuwa donda ndugu kila ikikaribia jumatano ya mwanzo wa mwezi wafanyabiashara wanazuia huduma ya mafuta wanaoteseka ni wananchi.
Ushauri huu mpe pia kinara wao as mambo mengi hayaendi sawa
Chukuweni hatua kama hamuwezi wacheni ofisi za umma watu wengine waziendeshe.

Nakuomba Mh. Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati hili jipu uanze nalo hatuwezi kuendesha nchi kwa namna hii.
Naam ushauri huu unamfaa pia Top
 
Back
Top Bottom