Mkuu wa Mkoa wa Mtwara anamhujumu kisiasa Kikwete: Waislam

Status
Not open for further replies.
Sisi kwa sisi inaelekea una element za udini,Mh Simbakalia leo asubuh alikuwa TBC na kaelezea vizuri sana kuwa serikali imeruhusu wanafunzi wote wa kidato cha sita wafanye mtihani unaoanza j5,kaelezea pia hizo zinazoitwa vurugu zinachochewa na externa forces katoa mfano wa hao wanafunzi badala ya kurudi makwao wamehifadhiwa kwenye msikiti wa jirani kwa muda mrefu,sasa swali kama sio kuchochewa na hao wanaowahifadhi si wangerudi makwao mpaka swala lao lipatiwe ufumbuzi?vile vile kasema serikali haiwezi kujenga nyumba za ibada sababu sio jukumu lake ikitokea watu wanataka kujenga wanarusiwa tu kama mwenye eneo karidhia.

hata mimi nimemsikia na anasema wanafunzi wenyewe hawajulikani walipo. Iweje? Watu wamekuwa mno huru mpaka wanataka kuhisi kuwa they can do anything na wao kufikiri vurugu zitatoa matatizo yao. Mtoto ni wa serikali na si dini wala nini. Adhabu hutolewa kwa mtoto yoyote mkorofi na anaekuwa against the laws. Ninaamini kuna joining instrustion kwa kila shule. Je, hayo madai ya watoto yanazingatia hata masharti ya shule husika?
 
yeye alitakiwa awajue kwa nia gani? Kama alikuwa anataka wahujumu kwa kushirikiana na mwalimu mkuu?
 
hata mimi nimemsikia na anasema wanafunzi wenyewe hawajulikani walipo. Iweje? Watu wamekuwa mno huru mpaka wanataka kuhisi kuwa they can do anything na wao kufikiri vurugu zitatoa matatizo yao. Mtoto ni wa serikali na si dini wala nini. Adhabu hutolewa kwa mtoto yoyote mkorofi na anaekuwa against the laws. Ninaamini kuna joining instrustion kwa kila shule. Je, hayo madai ya watoto yanazingatia hata masharti ya shule husika?
hata vyuo vikuu. Lkn tunasikia mnawetetea, kwa kuwa hawa ni waislam na wa udms ni wakiristo ndio mumeelekeza zaidi nguvu huko. Tz haina wanahaharakati kuna maslahi ya udini
 
dawa ya nguruwe na kuwahamisha na kutafutwa sehemu nyengine. Wakikataa ni kuwapa sumu

Haya ndiyo yako nyuma ya pazia mengine yote ni viini macho. Mgeni umekaribishwa, umemkuta mwenyeji wako ana vitega uchumi vyake kama kufuga nguruwe, kutengeneza na kuuza pombe. Mgeni baada ya kukaribishwa unamtaka mwenyeji wako ahamishe vitenga uchumi vyake. Eti kama anashindwa unawapa sumu nguruwe! Akili hiyo.

No wonder Boko haram baada ya kuruhusiwa kutumia sharia huko Northern Nigeria sasa wanalazimisha watu wote hata wasio waislamu wafuate sharia. Na kwa kauli na mataendo haya lazima wakiristu tuwe skeptical na madai yenu ya mahakama ya Kadhi.
 
Sio tatizo. kukaa kimeshonary kunaweza kubadilika. hata DAR ya leo sio ya ile ya zamani. majengo yaliokuwepo hayapo tena. kwa hivyo mazingira yanaweza kubadilishwa kwa kuwa ni ya serekali na sio kanisa tena
serikali ya Tanganyika haina dini, na haitakaa kuwa na dini. Ila wananchi wake wana dini. Ni wakati muafaka kwa kikwete kuwa very serious na haya mambo kiasi kwamba nchi iweze kuwa nchi yenye kufuata itikadi inayoiamini. Mi ni muslim but sipendi jinsi tunavyojidhalilisha na mambo yjasiyo na maana sana. Msikiti shule? Hell no!
 
haya ndiyo yako nyuma ya pazia mengine yote ni viini macho. Mgeni umekaribishwa, umemkuta mwenyeji wako ana vitega uchumi vyake kama kufuga nguruwe, kutengeneza na kuuza pombe. Mgeni baada ya kukaribishwa unamtaka mwenyeji wako ahamishe vitenga uchumi vyake. Eti kama anashindwa unawapa sumu nguruwe! Akili hiyo.

No wonder boko haram baada ya kuruhusiwa kutumia sharia huko northern nigeria sasa wanalazimisha watu wote hata wasio waislamu wafuate sharia. Na kwa kauli na mataendo haya lazima wakiristu tuwe skeptical na madai yenu ya mahakama ya kadhi.
hivi muislam mgeni tz?omba radhi wewe, wakati waislam wanadai uhuru, wakiristo wanashirikiana na wazungu kupinga uhuru ndio maana mwalimu aliegemea sana sehemu za bagamoyo na sio mara na arusha wakati wa kudai uhuru
 
serikali ya tanganyika haina dini, na haitakaa kuwa na dini. Ila wananchi wake wana dini. Ni wakati muafaka kwa kikwete kuwa very serious na haya mambo kiasi kwamba nchi iweze kuwa nchi yenye kufuata itikadi inayoiamini. Mi ni muslim but sipendi jinsi tunavyojidhalilisha na mambo yjasiyo na maana sana. Msikiti shule? Hell no!
mimi naamini jk awafukuze kazi huyu mwalimu mkuu kwa kuweka maslahi ya dini yake badala kumtumikia yeye.
 
haya ndiyo yako nyuma ya pazia mengine yote ni viini macho. Mgeni umekaribishwa, umemkuta mwenyeji wako ana vitega uchumi vyake kama kufuga nguruwe, kutengeneza na kuuza pombe. Mgeni baada ya kukaribishwa unamtaka mwenyeji wako ahamishe vitenga uchumi vyake. Eti kama anashindwa unawapa sumu nguruwe! Akili hiyo.

no wonder boko haram baada ya kuruhusiwa kutumia sharia huko northern nigeria sasa wanalazimisha watu wote hata wasio waislamu wafuate sharia. Na kwa kauli na mataendo haya lazima wakiristu tuwe skeptical na madai yenu ya mahakama ya kadhi.

ukishindwa hoja utakuja na viroja hao mawazo mgando. Yaani unataka kunambia wale wauji mapadri wa rwanda wanaingia peponi?huyo hitler mkatoliki amepata uzima wa milele
 
Malaria Sugu umebadilsha ID tu lakini staili yako ni ilelile unatoa uzi ,unatoa swali halafu unajijibu mwenyewe, hebu angalia ulivyojaa kwenye huu uzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom