BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 7,697
- 17,274
Ni bahati sikai Mbeya, ningemla mtu unyumba.
Nchini Israeli walitangulia: Bia, kakonyagi au kahawa bure ukikubali chanjo! (Kitimoto ilishindikana shauri ya miiko ya kidini)Njaa yako hiyo usitusemee tusiohitaji ubwabwa na soda, labda aseme kitimoto na bia.
Huu upumbavu wote kaleta huyu mzenji ,kama watu awataki chanjo si uwaache ,wewe umesha timiza jukumu lako la kuleta chanjo basi
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametangaza kuanza utoaji wa chanjo ya Uviko 19 nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na katika nyumba za ibada kuazia kesho Jumamosi Septemba 25, 2021.
Homera ametoa msimamo huo leo Ijumaa Septemba 24, 2021 kwenye kikao cha wadau cha uhamasishaji wa chanjo kwa wananchi mkoani Mbeya.
Amesema wamefikia uamuzi huo kwa sababu Mkoa ulipokea chanjo 50,000 lakini mpaka sasa waliopata chanjo ni 10,000 jambo ambalo halikubaliki huku Serikali ikiwa imetumia gharama kubwa kwa lengo la kuokoa uhai wa Watanzania
"Zoezi la utoaji chanjo ya Uviko 19 ni nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda kwa kuwashirikisha watendaji wa ngazi za kata na vijijini kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa na jamii kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko 19 ingawa sio lazima lakini itabidi iwe hivyo,"amesema.
Mwakilishi wa Wizara ya Afya, Dk Baraka Nzobo amesema jamii inapaswa kutambua chanjo hiyo haina madhara kwa binadamu na kwamba inasaidia kupunguza vifo na maambukizi ya Uviko 19.
"Ni hofu tu imejengeka miongoni mwa jamii na tafsiri tofauti juu ya kinga hiyo hivyo niungane na mkuu wa mkoa kwa kuanza kwa zoezi la nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda ili kufikia malengo ya serikali ya chanjo zikizotolewa katika kila mkoa."amesema.
Mkazi wa Forest, Saada Abdalla amesema msimamo huo wa Homera ni sahihi kwani jamii imekuwa ikiona chanjo hiyo ni kama sumu jambo ambalo linachangia kuwepo kwa vifo vitokanavyo na Uviko 19 na kuwepo kwa changamoto ya vifaa hususan oksijeni kwenye hosptali zetu nchini.
Mwananchi
Jamani mbona ugomvi tena?? Si mngetuuliza kabla hamjaagiza nyingi?? Usipanick bana zitaisha tu hahaaMkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametangaza kuanza utoaji wa chanjo ya Uviko 19 nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na katika nyumba za ibada kuazia kesho Jumamosi Septemba 25, 2021.
Homera ametoa msimamo huo leo Ijumaa Septemba 24, 2021 kwenye kikao cha wadau cha uhamasishaji wa chanjo kwa wananchi mkoani Mbeya.
Amesema wamefikia uamuzi huo kwa sababu Mkoa ulipokea chanjo 50,000 lakini mpaka sasa waliopata chanjo ni 10,000 jambo ambalo halikubaliki huku Serikali ikiwa imetumia gharama kubwa kwa lengo la kuokoa uhai wa Watanzania
"Zoezi la utoaji chanjo ya Uviko 19 ni nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda kwa kuwashirikisha watendaji wa ngazi za kata na vijijini kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa na jamii kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko 19 ingawa sio lazima lakini itabidi iwe hivyo,"amesema.
Mwakilishi wa Wizara ya Afya, Dk Baraka Nzobo amesema jamii inapaswa kutambua chanjo hiyo haina madhara kwa binadamu na kwamba inasaidia kupunguza vifo na maambukizi ya Uviko 19.
"Ni hofu tu imejengeka miongoni mwa jamii na tafsiri tofauti juu ya kinga hiyo hivyo niungane na mkuu wa mkoa kwa kuanza kwa zoezi la nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda ili kufikia malengo ya serikali ya chanjo zikizotolewa katika kila mkoa."amesema.
Mkazi wa Forest, Saada Abdalla amesema msimamo huo wa Homera ni sahihi kwani jamii imekuwa ikiona chanjo hiyo ni kama sumu jambo ambalo linachangia kuwepo kwa vifo vitokanavyo na Uviko 19 na kuwepo kwa changamoto ya vifaa hususan oksijeni kwenye hosptali zetu nchini.
Mwananchi
Je tuna mazingira mazuri ya kuhifadhia huku kwetu Nanyumbu ili iweze kudumu miezi hiyo 4 mpaka sita?Mkuu J&J zinahifadhika kati ya miezi nne mpaka sita.
He is the most stupid RC specimen everseen since independence of TanganyikaAmesema wamefikia uamuzi huo kwa sababu Mkoa ulipokea chanjo 50,000 lakini mpaka sasa waliopata chanjo ni 10,000 jambo ambalo halikubaliki huku Serikali ikiwa imetumia gharama kubwa kwa lengo la kuokoa uhai wa Watanzania
"Zoezi la utoaji chanjo ya Uviko 19 ni nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda kwa kuwashirikisha watendaji wa ngazi za kata na vijijini kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa na jamii kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko 19 ingawa sio lazima lakini itabidi iwe hivyo,"amesema.
Nini sababu ya kuwasainisha makaratasi watu?Mwakilishi wa Wizara ya Afya, Dk Baraka Nzobo amesema jamii inapaswa kutambua chanjo hiyo haina madhara kwa binadamu na kwamba inasaidia kupunguza vifo na maambukizi ya Uviko 19.
Zoezi la vitambulisho vya machinga lilibuma in the same way, hili nalo seems to go the same wayNi hofu tu imejengeka miongoni mwa jamii na tafsiri tofauti juu ya kinga hiyo hivyo niungane na mkuu wa mkoa kwa kuanza kwa zoezi la nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda ili kufikia malengo ya serikali ya chanjo zikizotolewa katika kila mkoa."amesema.
Huyu mkuu anajielewa.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametangaza kuanza utoaji wa chanjo ya Uviko 19 nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na katika nyumba za ibada kuazia kesho Jumamosi Septemba 25, 2021.
Homera ametoa msimamo huo leo Ijumaa Septemba 24, 2021 kwenye kikao cha wadau cha uhamasishaji wa chanjo kwa wananchi mkoani Mbeya.
Amesema wamefikia uamuzi huo kwa sababu Mkoa ulipokea chanjo 50,000 lakini mpaka sasa waliopata chanjo ni 10,000 jambo ambalo halikubaliki huku Serikali ikiwa imetumia gharama kubwa kwa lengo la kuokoa uhai wa Watanzania
"Zoezi la utoaji chanjo ya Uviko 19 ni nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda kwa kuwashirikisha watendaji wa ngazi za kata na vijijini kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa na jamii kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko 19 ingawa sio lazima lakini itabidi iwe hivyo,"amesema.
Mwakilishi wa Wizara ya Afya, Dk Baraka Nzobo amesema jamii inapaswa kutambua chanjo hiyo haina madhara kwa binadamu na kwamba inasaidia kupunguza vifo na maambukizi ya Uviko 19.
"Ni hofu tu imejengeka miongoni mwa jamii na tafsiri tofauti juu ya kinga hiyo hivyo niungane na mkuu wa mkoa kwa kuanza kwa zoezi la nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda ili kufikia malengo ya serikali ya chanjo zikizotolewa katika kila mkoa."amesema.
Mkazi wa Forest, Saada Abdalla amesema msimamo huo wa Homera ni sahihi kwani jamii imekuwa ikiona chanjo hiyo ni kama sumu jambo ambalo linachangia kuwepo kwa vifo vitokanavyo na Uviko 19 na kuwepo kwa changamoto ya vifaa hususan oksijeni kwenye hosptali zetu nchini.
Mwananchi
Kaka hii si kweli! Lete chanzo chako.Tafiti zimetoka Israel wamesema kinga ya asili ya mwili ni inanguvu mara13 zaidi ya kinga inayopatikana kwa kuchanja. Kwa maneno rahisi chanjo inapunguza kinga ya asili ya mwili.
Sasa kama una ujuzi kwann hamtoi huduma mna waachia wanasiasa walete ujinga kwenyr taaluma yenu?Kaka hii si kweli! Lete chanzo chako.
Naona huelewi chanjo yoyote inavyofanya kazi. Hata wewe mwenyewe umeshapokea chanjo mbalimbali.
Si lazima uelewe lakini afadhali usisambaze fujo isiyo na msingi wowote.