#COVID19 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amesema Chanjo itakwenda nyumba kwa nyumba

Watu lazima kuchanja. Badala ya kampeni ya nyumba kwa nyumba simu zote zipigwe lock na mamlaka. Ku unlock cheti chanjo ya kovidi. Kazi iendelee.
 
Njaa yako hiyo usitusemee tusiohitaji ubwabwa na soda, labda aseme kitimoto na bia.
Nchini Israeli walitangulia: Bia, kakonyagi au kahawa bure ukikubali chanjo! (Kitimoto ilishindikana shauri ya miiko ya kidini)

Amesema wamefikia uamuzi huo kwa sababu Mkoa ulipokea chanjo 50,000 lakini mpaka sasa waliopata chanjo ni 10,000 jambo ambalo halikubaliki huku Serikali ikiwa imetumia gharama kubwa kwa lengo la kuokoa uhai wa Watanzania

Watanzania wenyewe ndo hawataki kuokolewa maisha yao, wao wanahangaika na nini??
 
Huyu jamaa anakiuka Kauli ya Rais wa nchi kwamba chanjo ni hiari.? Au mbeya ina Rais wake.
 
Huu upumbavu wote kaleta huyu mzenji ,kama watu awataki chanjo si uwaache ,wewe umesha timiza jukumu lako la kuleta chanjo basi

Kama walishatoa mabillioni mengine kuagiza chanjo wakati hizi za msaada hazijafikia hata robo huoni kashfa kubwa ikiwanyemelea watu hawa? Rais anasema tushirikiane na kupendana Watanzania. Mteule wake Mkuu wa Mkoa anawakarahisha aliopewa dhamana ya kuwongoza kwa kusema chanjo ni kitanda kwa kitanda. Vitanda vingine vina ndoa za watu unaenda kutafuta nini?

Hawa viongozi wetu hawajistukii tu! Iweje watu wogope chanjo kuliko kifo? Nimesikia clip ya sheikh mmoja wa Mwanza naye anatoa kauli zinazoelekea kutaka kulazimishana chanjo. Sijui polisi, magereza, manesi, mabwana afya, usalama, nk hawataki kuchanjwa. Hawamuheshimu Rais na hawamwambii kweli ni watu wanao kuambia wanakuja lakini ndio wanaondoka. Kauli kama hizi zinachochea chuki kati ya wananchi. Chanjo ni hiari sasa kwa nini haya yote mengine ya ibuke tena?

Tafiti zimetoka Israel wamesema kinga ya asili ya mwili ni inanguvu mara13 zaidi ya kinga inayopatikana kwa kuchanja. Kwa maneno rahisi chanjo inapunguza kinga ya asili ya mwili.

Badala ya viongozi kwenda na wakati wanatupeleka kutuingiza huko ambako waliotangulia kuchanja wana kukimbia. Tafiti hii ya Israel imetoka mwezi huu wa 9. Kumbuka Israel wamechanja zaidi ya 80% ya Raia wake.
 
Kwani wakati mnaagiza si mngechukua order
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametangaza kuanza utoaji wa chanjo ya Uviko 19 nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na katika nyumba za ibada kuazia kesho Jumamosi Septemba 25, 2021.

Homera ametoa msimamo huo leo Ijumaa Septemba 24, 2021 kwenye kikao cha wadau cha uhamasishaji wa chanjo kwa wananchi mkoani Mbeya.

Amesema wamefikia uamuzi huo kwa sababu Mkoa ulipokea chanjo 50,000 lakini mpaka sasa waliopata chanjo ni 10,000 jambo ambalo halikubaliki huku Serikali ikiwa imetumia gharama kubwa kwa lengo la kuokoa uhai wa Watanzania

"Zoezi la utoaji chanjo ya Uviko 19 ni nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda kwa kuwashirikisha watendaji wa ngazi za kata na vijijini kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa na jamii kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko 19 ingawa sio lazima lakini itabidi iwe hivyo,"amesema.

Mwakilishi wa Wizara ya Afya, Dk Baraka Nzobo amesema jamii inapaswa kutambua chanjo hiyo haina madhara kwa binadamu na kwamba inasaidia kupunguza vifo na maambukizi ya Uviko 19.

"Ni hofu tu imejengeka miongoni mwa jamii na tafsiri tofauti juu ya kinga hiyo hivyo niungane na mkuu wa mkoa kwa kuanza kwa zoezi la nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda ili kufikia malengo ya serikali ya chanjo zikizotolewa katika kila mkoa."amesema.

Mkazi wa Forest, Saada Abdalla amesema msimamo huo wa Homera ni sahihi kwani jamii imekuwa ikiona chanjo hiyo ni kama sumu jambo ambalo linachangia kuwepo kwa vifo vitokanavyo na Uviko 19 na kuwepo kwa changamoto ya vifaa hususan oksijeni kwenye hosptali zetu nchini.

Mwananchi

Jamani mbona ugomvi tena?? Si mngetuuliza kabla hamjaagiza nyingi?? Usipanick bana zitaisha tu hahaa
 
Amesema wamefikia uamuzi huo kwa sababu Mkoa ulipokea chanjo 50,000 lakini mpaka sasa waliopata chanjo ni 10,000 jambo ambalo halikubaliki huku Serikali ikiwa imetumia gharama kubwa kwa lengo la kuokoa uhai wa Watanzania

"Zoezi la utoaji chanjo ya Uviko 19 ni nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda kwa kuwashirikisha watendaji wa ngazi za kata na vijijini kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa na jamii kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko 19 ingawa sio lazima lakini itabidi iwe hivyo,"amesema.
He is the most stupid RC specimen everseen since independence of Tanganyika
 
Mwakilishi wa Wizara ya Afya, Dk Baraka Nzobo amesema jamii inapaswa kutambua chanjo hiyo haina madhara kwa binadamu na kwamba inasaidia kupunguza vifo na maambukizi ya Uviko 19.
Nini sababu ya kuwasainisha makaratasi watu?

Nini maana ya hiari?
 
Ni hofu tu imejengeka miongoni mwa jamii na tafsiri tofauti juu ya kinga hiyo hivyo niungane na mkuu wa mkoa kwa kuanza kwa zoezi la nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda ili kufikia malengo ya serikali ya chanjo zikizotolewa katika kila mkoa."amesema.
Zoezi la vitambulisho vya machinga lilibuma in the same way, hili nalo seems to go the same way
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametangaza kuanza utoaji wa chanjo ya Uviko 19 nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na katika nyumba za ibada kuazia kesho Jumamosi Septemba 25, 2021.

Homera ametoa msimamo huo leo Ijumaa Septemba 24, 2021 kwenye kikao cha wadau cha uhamasishaji wa chanjo kwa wananchi mkoani Mbeya.

Amesema wamefikia uamuzi huo kwa sababu Mkoa ulipokea chanjo 50,000 lakini mpaka sasa waliopata chanjo ni 10,000 jambo ambalo halikubaliki huku Serikali ikiwa imetumia gharama kubwa kwa lengo la kuokoa uhai wa Watanzania

"Zoezi la utoaji chanjo ya Uviko 19 ni nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda kwa kuwashirikisha watendaji wa ngazi za kata na vijijini kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa na jamii kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa uviko 19 ingawa sio lazima lakini itabidi iwe hivyo,"amesema.

Mwakilishi wa Wizara ya Afya, Dk Baraka Nzobo amesema jamii inapaswa kutambua chanjo hiyo haina madhara kwa binadamu na kwamba inasaidia kupunguza vifo na maambukizi ya Uviko 19.

"Ni hofu tu imejengeka miongoni mwa jamii na tafsiri tofauti juu ya kinga hiyo hivyo niungane na mkuu wa mkoa kwa kuanza kwa zoezi la nyumba kwa nyumba ,kitanda kwa kitanda ili kufikia malengo ya serikali ya chanjo zikizotolewa katika kila mkoa."amesema.

Mkazi wa Forest, Saada Abdalla amesema msimamo huo wa Homera ni sahihi kwani jamii imekuwa ikiona chanjo hiyo ni kama sumu jambo ambalo linachangia kuwepo kwa vifo vitokanavyo na Uviko 19 na kuwepo kwa changamoto ya vifaa hususan oksijeni kwenye hosptali zetu nchini.

Mwananchi
Huyu mkuu anajielewa.
 
Kuna watafiti wa udongo sijui mkoa gani wakahisiwa ni nyonya damu wakapigwa moto wakiwa hai... huko MBEYA nenda taratibu hao Wanyakyusa wana historia ya kuchuna watu ngozi
 
Tafiti zimetoka Israel wamesema kinga ya asili ya mwili ni inanguvu mara13 zaidi ya kinga inayopatikana kwa kuchanja. Kwa maneno rahisi chanjo inapunguza kinga ya asili ya mwili.
Kaka hii si kweli! Lete chanzo chako.
Naona huelewi chanjo yoyote inavyofanya kazi. Hata wewe mwenyewe umeshapokea chanjo mbalimbali.
Si lazima uelewe lakini afadhali usisambaze fujo isiyo na msingi wowote.
 
Sasa kama una ujuzi kwann hamtoi huduma mna waachia wanasiasa walete ujinga kwenyr taaluma yenu?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom