Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,885
- 6,398
sasa mkuu,Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.
Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo.
Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana Magufuli Dar
es Salaam,basi lazima auawe na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam. Tundu
Lissu akimtukana Magufilo basi lazima apigwe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya." "Watu wanataka kuutumia Mkoa wa Mbeya kiinuka kisiasa,polisi msikubali".
Kazi ya mwanasiasa sasa ndio imekuwa kuzuia shughuli za kisiasa?
Mtu anaposema familia yake ni baba yake tu na mama yake,huyo mtu hajakomaa kisiasa. Kama akiita wilaya familia yake au mkoa familia yake,huo ndio mwanzo wa kupata political conciousness.
Watu wamesikika mitaani wanasema "Rais Samia akamatwe awekwe gerezani. Mkataba gani huu.?"
we mwenyewe umejitathmini kwanza? Fanya shughuli zako mambo ya ukuu wa mkoa yako juu sana ya uwezo wako.Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.
Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo.
Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana Magufuli Dar
es Salaam,basi lazima auawe na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam. Tundu
Lissu akimtukana Magufilo basi lazima apigwe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya." "Watu wanataka kuutumia Mkoa wa Mbeya kiinuka kisiasa,polisi msikubali".
Kazi ya mwanasiasa sasa ndio imekuwa kuzuia shughuli za kisiasa?
Mtu anaposema familia yake ni baba yake tu na mama yake,huyo mtu hajakomaa kisiasa. Kama akiita wilaya familia yake au mkoa familia yake,huo ndio mwanzo wa kupata political conciousness.
Watu wamesikika mitaani wanasema "Rais Samia akamatwe awekwe gerezani. Mkataba gani huu.?"
Wee Koro juzi nilikupigia nikakuambia angalia email yako Kuna barua ya uteuzi ukasema "nashukuru Sana mkuu" kumbe ufala wote unajifanyaga mtandaoni unatarajia uteuzi? Kiazi Kama wewe nani akiteue?Hata sijakuelewa ulitaka kuandika nini na kuwasilisha nini ndugu yangu maana naona hata wewe mwenyewe ukirudia kusoma unaweza usielewe ulichokiandika hapa jukwaani. Andika kwa kutulia ili tujuwe unataka kutueleza nini na tuelewe nini.
Naona unaandika kwa kujifariji ukijua unajadili na wajinga wenzioWee Koro juzi nilikupigia nikakuambia angalia email yako Kuna barua ya uteuzi ukasema "nashukuru Sana mkuu" kumbe ufala wote unajifanyaga mtandaoni unatarajia uteuzi? Kiazi Kama wewe nanieakiteue?
Pls aliyeelewa hii passage atufanyie hisan ya to crack codesKazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.
Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo.
Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana Magufuli Dar
es Salaam,basi lazima auawe na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam. Tundu
Lissu akimtukana Magufilo basi lazima apigwe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya." "Watu wanataka kuutumia Mkoa wa Mbeya kiinuka kisiasa,polisi msikubali".
Kazi ya mwanasiasa sasa ndio imekuwa kuzuia shughuli za kisiasa?
Mtu anaposema familia yake ni baba yake tu na mama yake,huyo mtu hajakomaa kisiasa. Kama akiita wilaya familia yake au mkoa familia yake,huo ndio mwanzo wa kupata political conciousness.
Watu wamesikika mitaani wanasema "Rais Samia akamatwe awekwe gerezani. Mkataba gani huu.?"
Haha [emoji1]Wee Koro juzi nilikupigia nikakuambia angalia email yako Kuna barua ya uteuzi ukasema "nashukuru Sana mkuu" kumbe ufala wote unajifanyaga mtandaoni unatarajia uteuzi? Kiazi Kama wewe nanieakiteue?
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ni usalama asiyetumia nafasi yake kwa hekima na busara ili mradi anamfurahisha aliyemteua bila kujali siku moja atakuwa mtaani na biala kuwa na uwezekano wa kuburuzwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya ofisi kisha akaomba kutetewa na wanasheria mahiri mmojawapo ni 'BAK' MwabhukusiKazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.