Mkuu wa Mkoa wa Arusha aanza ziara ya siku tatu wilayani Longido

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,405
5,031
Wadau hamjamboni nyote

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda anaelekea Wilaya ya Longido katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.

Ziara hiyo ya siku sita imeanza leo Mei 23 na itamalizika Mei 30, 2024.

Viva Paul Makonda
 
well done gentleman

kila la kheri RC comrade P.C. MAKONDA :KasugaYeah:
 
Wadau hamjamboni nyote

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda anaelekea Wilaya ya Longido katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.

Ziara hiyo ya siku sita imeanza leo Mei 23 na itamalizika Mei 30, 2024.

Viva Paul Makonda
HIVI LEMA SASAHIVI HAFANYI MIKUTANO YAKE TENA? HAHAAAA KIMYA NYAU YULE ALIKUWA ANASUMBUA KAJA MWANAMME SASA KAWA KIMYA
 
Kichwa cha habari siku tatu..!
Ndani ya habari. siku sita..!
Kuanzia tar 23 hadi 30....siku nane..!(Ikumbukwe ziara za kiserikali siku aliyoanza na aliyomalizia zinahesabika kama siku kamili).
Tufuate ipi!?

Mleta mada tulia utoe taarifa bila mhemko.
 
Asimamie vizuri hoteli zetu hapo Arusha, pamoja na ile tuliyonunua kwenye mnada na tunayojenga Karatu
 
Back
Top Bottom