Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,710
Binafsi si shangazi na hiyo NISHANI, kwani Bw Simbakalia ni miongoni mwa wakatoliki walio isimamia vyema mikakati ya kudhohofisha nguvu ya waislamu mkoa wa Kigoma pamoja na kusimamia kwa uadilifu uliotukuka WARAKA wa kanisa wakt wa uchaguzi mkuu 2010, alihakikisha ktk mkoa wa Kigoma bila kujali chama hakuna mgombea Muislamu anashinda kiti cha ubunge na alifanikiwa 90% kwani mkoa mzima "KIGOMA" mbunge muislamu ni Mh. zitto peke yake, nae pamoja na kupigwa vita ya kidini iliyohamasishwa na Simbakalia + Askofu Ruzoka & kutekelezwa na ma-DC ambao wote ni wakristu, alipita kwa nguvu kubwa aliyokuwa nayo kama Zitto na sio kwasababu ya chama chake. Ilifikia hatua kwa ushauri wa Askofu Ruzoka, Mh. Chiza -N/waziri kilimo mawakala wake wote walikuwa MA-SISTERS. Hivi unafikiri kwa mazingira kama haya Simbakalia hatopewa NISHANI ya utumishi uliotukuka na Kanisa lake "KATOLIKI"
Angalizo tu. Wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 Askofu Mkuu Ruzoka alikuwa Tabora, na kwa majukumu yake ya Tabora hakuwa na muda hata kidogo na mambo ya Kigoma. Askofu wa Kanisa la RC Kigoma ni Mh. Protase Rugambwa.