Mkuu wa Mkoa Mara -Mikutano ya siasa isiyomuunga mkono Rais katika maendeleo marufuku!

Katika utawala wa Magufuli tusitegemee kupata maendeleo yeyote.Mtu gani hataki mawazo mbadala hataki aambiwe sehemu gani anafanya vibaya ili aboreshe
Akikubli Mawazo mbadala mtamtukana kama Mtangulizi wake. Acheni tuonje ladha tofauti ya utawala.
 
Mheshimiwa mkuu wamkoa wa Mara aka kanda maalumu amepiga marufuku mikutano ya kisiasa isiyo na tija atika jitihada za maendeleo zilizoanzishwa na Rais Magufuli.

Mheshimiwa Mlingwa ameyesama haya wakati akipokea taarifa ya uchaguzu mkuu 2015 kutoka NEC.Ambapo imeonekana amanani ya Mara imeimarika kiasi cha kuanza kuvuti wawekezaji!

Chadema kama mnataka kuwa na mkutano basi mkutano huo uhusiane na juhudi za Rais za kupambana na rushwa,kutengeneza madawati au mambo muhimu ya maendeleo kwa Taifa...sio mkutano wa kuekezea sababu za kumsusia Tulia.

Kwa habari zaidi source ni Itv
Kwa hiyo Olesendeka yeye ruhusa kuwasema wapinzani? je kauli zake juu ya kuwashambulia UKAWA huwa ni za kulijenga taifa?
 
Mheshimiwa mkuu wamkoa wa Mara aka kanda maalumu amepiga marufuku mikutano ya kisiasa isiyo na tija atika jitihada za maendeleo zilizoanzishwa na Rais Magufuli.

Mheshimiwa Mlingwa ameyesama haya wakati akipokea taarifa ya uchaguzu mkuu 2015 kutoka NEC.Ambapo imeonekana amanani ya Mara imeimarika kiasi cha kuanza kuvuti wawekezaji!

Chadema kama mnataka kuwa na mkutano basi mkutano huo uhusiane na juhudi za Rais za kupambana na rushwa,kutengeneza madawati au mambo muhimu ya maendeleo kwa Taifa...sio mkutano wa kuekezea sababu za kumsusia Tulia.

Kwa habari zaidi source ni Itv
Kaz ipo hii SERIKALI
 
Mikutano ya aina hyo anatakiwa kuifanya yeye sabab ndio anamuwakilisha boss wake, sasa anataka hata wapinzan wapangiwe chakuongea kwenye jukwaa, ila mwambie aje taratib hapa kanda maalum mwenzake huyo wa mwendo kas aliyetumbuliwa kwa kas zake zoote hakuweza fanya mkutano tarime mjin
 
Back
Top Bottom