Mkuu wa Mkoa Mara -Mikutano ya siasa isiyomuunga mkono Rais katika maendeleo marufuku!

Safi sana hawa ndio aina ya viongozi tunaowahitaji kwa sasa huu ni mda wa kazi sio majungu na kumkwamisha Rais asifanye kazi.
Raisi yupi bestfriend wa kagame au raisi yupi anaeleta maendeleo,which president sielewi naona sura tofauti kika siku oohh raisi anaetaka kuwaokoa maskini,raisi yupi haswa ambae mpaka sasa wananchi wengi waliokua na imani nae tunazidi kupungua you tell me ni raisi yupi?
 
Ila bro serikali ya awamu ya tano imefanya makubwa na imejtahid sana wala co yakubezwa kwa maana sukari huku kwetu dar ni 1800, cement ni 8000 alaf wala kodi za benki sisi hazituhusu alaf na ile kodi ya 1000 kwa mwezi ya laini za simu pia haipo.. Ccm mbele kwa mbele #nchiyamwendokasi
Tuipongeze serikali ya chama chetu kwa mafanikio hayo.
 
Mheshimiwa mkuu wamkoa wa Mara aka kanda maalumu amepiga marufuku mikutano ya kisiasa isiyo na tija atika jitihada za maendeleo zilizoanzishwa na Rais Magufuli.

Mheshimiwa Mlingwa ameyesama haya wakati akipokea taarifa ya uchaguzu mkuu 2015 kutoka NEC.Ambapo imeonekana amanani ya Mara imeimarika kiasi cha kuanza kuvuti wawekezaji!

Chadema kama mnataka kuwa na mkutano basi mkutano huo uhusiane na juhudi za Rais za kupambana na rushwa,kutengeneza madawati au mambo muhimu ya maendeleo kwa Taifa...sio mkutano wa kuekezea sababu za kumsusia Tulia.

Kwa habari zaidi source ni Itv
Nilijua tu, akishasema mkubwa kila mtu anaitikia kwa mwangwi au kukariri maneno kama kasuku. Siku mkubwa akisahau kufunga zip, wakuu wa mikoa, wilaya, na askari wote watafanya hivyo hivyo ili kuunga mkono harakati na juhudi zake za kuwaletea maendeleo wananchi wake.

"I did not appoint you to think! I appointed you to carry out my orders. Let me do the thinking"-Robert Mugabege wa Tanzania.
 
Mheshimiwa mkuu wamkoa wa Mara aka kanda maalumu amepiga marufuku mikutano ya kisiasa isiyo na tija atika jitihada za maendeleo zilizoanzishwa na Rais Magufuli.

Mheshimiwa Mlingwa ameyesama haya wakati akipokea taarifa ya uchaguzu mkuu 2015 kutoka NEC.Ambapo imeonekana amanani ya Mara imeimarika kiasi cha kuanza kuvuti wawekezaji!

Chadema kama mnataka kuwa na mkutano basi mkutano huo uhusiane na juhudi za Rais za kupambana na rushwa,kutengeneza madawati au mambo muhimu ya maendeleo kwa Taifa...sio mkutano wa kuekezea sababu za kumsusia Tulia.

Kwa habari zaidi source ni Itv
Yeye ni nani kwenye katiba ya nchi?
 
sasa naanza kujua kwa nini mulongo was sacked,labda alitakiwa atoe maagizo ya kidikteta uchwara kama haya!!!!!
 
Mheshimiwa mkuu wamkoa wa Mara aka kanda maalumu amepiga marufuku mikutano ya kisiasa isiyo na tija atika jitihada za maendeleo zilizoanzishwa na Rais Magufuli.

Mheshimiwa Mlingwa ameyesama haya wakati akipokea taarifa ya uchaguzu mkuu 2015 kutoka NEC.Ambapo imeonekana amanani ya Mara imeimarika kiasi cha kuanza kuvuti wawekezaji!

Chadema kama mnataka kuwa na mkutano basi mkutano huo uhusiane na juhudi za Rais za kupambana na rushwa,kutengeneza madawati au mambo muhimu ya maendeleo kwa Taifa...sio mkutano wa kuekezea sababu za kumsusia Tulia.

Kwa habari zaidi source ni Itv
Well said
 
Back
Top Bottom