Mkuu wa Mkoa Mara -Mikutano ya siasa isiyomuunga mkono Rais katika maendeleo marufuku!

Ndio maana sitaki kuwa Dr au Prof wakati mwingine ni sawa na kujishushia heshima mchana kweupe.
 
Bendera zote huwa zinafuata upepo, watakula wapi wasipofanya hivyo

Na huyu si kapandishwa cheo kutoka ukuu wa Wilaya; lazima ajitahidi kumfurahisha mkuu wake, hata kwa kutoa kauli tata!
 
Lowassa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Utakamatwa wewe... unaleta Uchochezi! Mwenzio yupo Kenya huko kaenda kuuza Nyota yake maana Bongo hailipi tena
 
Unataka kusema tu kama kasuku??
Tunataka useme kwa mustakabali wa maendeleo ya Taifa

Kama haujui la kusema muwe mnakaa kimya, ni taifa la makondoo tuu ndio wanaoongea lugha hiyo...

Kuliko na maendeleo kote duniani hawafanyi unavyosema labda tuyaite maendeleo ya mapya duniani
 
Unaujua huo mustakabali wa maendeleo ya Taifa??Taifa haliwezi kuongozwa na fikra za mtu mmoja,lazima mawazo mbadala yatolewe!Hii kufata mkumbo bila kuhoji haina afya kwa Taifa!Katiba ndio muongozo mkuu wa nchi,katiba imetoa uhuru wa kujieleza!
"Ukiona kiongozi anavunja katiba,hata kama huyo kiongozi ni mzuri hatufai"-By Nyerere
Amen
 
Back
Top Bottom