Mkuu wa Mkoa Manyara, Mnyeti umekurupuka

LENGIO

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
1,096
Reaction score
508
Mkuu wa mkoa Manyara unapotaka sisi wafanyakazi wa migodini Mirerani tulipwe mishahara unaelewa makubaliano yetu au unakurupuka tu.

Sisi wafanyakazi wa migodini tupasenti tunazopewa madini yanapotoka,sasa unapokuja na mambo yako ya mishahara huoni kuwa sisi ndio tutakuwa tunapoteza haki zetu?

Tumtolee mtuu madini ya bilioni 10 alafu unaambulia laki 4 kwa mwezi hiyo sio sawa.Kama unatupenda sana wafanyakazi wa migodini pigania tuwe tunalipwa pasenti zetu zinazostaili.

Sisi wafanyakazi wamigodi tunachama chetu tungetaka mishahara chama kingeongea na wamiliki wa migodini.

Siasa na kutafuta sifa sio kila mahali inangia ungeuliza makubaliano hakuna fala mirerani anayekwenda kufanyakazi asijue haki yake.

Ni hayo tuu usilete mambo yasio wezekana tunaridhika na chakula tunachopewa matibabu, hela ya kujikimu kila wiki hayo ya mishahara yatatukosesha mengi.
 
Sidhani kama Mnyeti yuko jf na hata angekuwepo hii si njia sahihi sana ya kulalamika. Kama mna hicho chama chenu ni bora mungewasilisha maoni na malalamiko yenu kwa maandishi kupitia uongozi wenu, ikiwezekana muombe appointment ya kukutana nae
 
Huyo anayelalamika siyo mfanyakazi bali ni hao wenye migodi wanaowalalia wafanyakazi au ni kibaraka wa wenye migoti tu. Huwezi pinga wakati serikali inataka wafanyakazi wapate sitahiri yao siyo mfanyakazi akiumia ndiyo basi.
 
Maadam umesoma wewe basi utamwambia! Mshauri basi ajiunge jf ili angalau ajifunze namna bora za uongozi! Anawaangusha ccm!
 
Hili swala ni gumu sana hakuna mmiliki wa mgodi mwenye uwezo wa kulipa watu 200 au 300 mshahara,mimi naona utaratibu uliopo uendelee hawa watendaji wa serikali wafanye siasa.mgodi nliopo unaapollo 300 nao wasimamia.
Ukiwalipa mshahara sio chini ya 120m kila mwezi tajiri atazitoa wapi wakti gharama za kuhudumia mgodi ni kubwa kwa mwezi 20m mpka 50m.
Kuhudumia mgodi wa tanzanite sio kma kuhudumia migodi ya dhahabu ambayo kwa mwezi hata 1m haiishi
 
Mkuu wa mkoa Manyara unapotaka sisi wafanyakazi wa migodini Mirerani tulipwe mishahara unaelewa makubaliano yetu au unakurupuka tu.

Sisi wafanyakazi wa migodini tupasenti tunazopewa madini yanapotoka,sasa unapokuja na mambo yako ya mishahara huoni kuwa sisi ndio tutakuwa tunapoteza haki zetu?

Tumtolee mtuu madini ya bilioni 10 alafu unaambulia laki 4 kwa mwezi hiyo sio sawa.Kama unatupenda sana wafanyakazi wa migodini pigania tuwe tunalipwa pasenti zetu zinazostaili.

Sisi wafanyakazi wamigodi tunachama chetu tungetaka mishahara chama kingeongea na wamiliki wa migodini.

Siasa na kutafuta sifa sio kila mahali inangia ungeuliza makubaliano hakuna fala mirerani anayekwenda kufanyakazi asijue haki yake.

Ni hayo tuu usilete mambo yasio wezekana tunaridhika na chakula tunachopewa matibabu, hela ya kujikimu kila wiki hayo ya mishahara yatatukosesha mengi.

Nilichokigundua tu ni kwamba tayari huyu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ameshaangukia katika ' Labeling Theory ' ya kuonekana kwamba ni Mtu mbaya tu na kila akifanyacho ni kibaya. Nimesoma vizuri maelezo yako ila nimegundua kuwa Wewe Mleta Mada ndiyo una matatizo na lengo la Mkuu wa Mkoa Mnyeti wala halikuwa baya tena maamuzi yake ni ya msaada mno Kwenu kama ungeyaelewa. Yes Alexander Mnyeti kama Binadamu yoyote yule anaweza akawa na ' mapungufu ' yake ila kwa sasa tunazidi kumpa ' lawama ' hata ambazo hazistahili. Tupunguze ' Unafiki ' na kupenda kufanya ' Uanaharakati ' kwa Agenda zetu za Kisiasa.
 
Huyo anayelalamika siyo mfanyakazi bali ni hao wenye migodi wanaowalalia wafanyakazi au ni kibaraka wa wenye migoti tu. Huwezi pinga wakati serikali inataka wafanyakazi wapate sitahiri yao siyo mfanyakazi akiumia ndiyo basi.
Wewe ndio kibaraka wa mnyeti,unataka tulipwe laki 4 tumekuwa mahouse boy kama wewe.Na ujue watakapo tulipa mishahara watakuwa wanatusachi lini tutapata hela we UCD umeridhika na viporo vya mnyeti na nguo zikimbana unaambuli.
 
Nilichokigundua tu ni kwamba tayari huyu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ameshaangukia katika ' Labeling Theory ' ya kuonekana kwamba ni Mtu mbaya tu na kila akifanyacho ni kibaya. Nimesoma vizuri maelezo yako ila nimegundua kuwa Wewe Mleta Mada ndiyo una matatizo na lengo la Mkuu wa Mkoa Mnyeti wala halikuwa baya tena maamuzi yake ni ya msaada mno Kwenu kama ungeyaelewa. Yes Alexander Mnyeti kama Binadamu yoyote yule anaweza akawa na ' mapungufu ' yake ila kwa sasa tunazidi kumpa ' lawama ' hata ambazo hazistahili. Tupunguze ' Unafiki ' na kupenda kufanya ' Uanaharakati ' kwa Agenda zetu za Kisiasa.
Hilo halina siasa wengine sio wanasiasa kama wewe.Ila elewa hakuna mtu atakayekulipa mshahara akubali utoke hata na ½ Gram ya kajiwe na akupe chakula hakuna watu watata kama wachimbaji wa Miererani kama kuna dhuluma dunia engeelewa.Angetaka kusaidia angetetea makubaliano ya mchimbaji na tajiri yafuatwe.Tungekuwa tunalipwa tusinge jenga wala kuwa na magari na kusomesha watoto.
 
Huyo anayelalamika siyo mfanyakazi bali ni hao wenye migodi wanaowalalia wafanyakazi au ni kibaraka wa wenye migoti tu. Huwezi pinga wakati serikali inataka wafanyakazi wapate sitahiri yao siyo mfanyakazi akiumia ndiyo basi.
Hata mimi ni mfanya kazi siwezi kwenda kumeza ulanga eti nilipwe laki nne. Kama serikali walitaka tulipwe kinachotustahili cyo kima hicho cha mshahara. Wachimbaji wa Tanzanite hufariki kila siku kutokana na athari za ulanga na vumbi la mgodini. Hospital ya Kibongoto imejaa wachimbaji wengi wenye TB na mapafu kuharibika.

Kama lengo ni kutetea maslahi ya wafanyakazi katika migodi ya wachimbaji wadogo basi mshahara uendane na athari za kiafya zilizomo katika migodi. Kwa mfano kwa sheria za SHIRIKA LA KAZI DUNIANI, {ILO}, wafanyakazi wa migodini mishahara yao inatakiwa iwe mikubwa kwasababu kazi ni ngumu na ina athari za kiafya. Hata hivyo hakuna tajiri mwenye uwezo wa kulipa mishahara stahiki kwenye migodi ya tanzanite kwasababu madini yenyewe hutoka kwa kubahatisha.

Ukifanya kazi kwenye migodi ya URANIUM, kutokana na athari za uranium kiafya; lazima ulipwe mishahara mikubwa na incentives kibao na pia kisheria unatakiwa ufanye kwa muda mfupi tu then ustaafishwe na kulipwa pesa ndefu za pension.

Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, shs 400,000 haitoshi kujikimu hata kidogo. Hebu jiulize ni lini utakusanya huo mshahara utoshe ujenge nyumba nzuri, uwe na usafiri, familia iwe na ustawi mzuri na wategemezi wapate msaada toka kwako!?

Suluhisho hapa siyo mishahara bali ni kuwabana waajiri wawapatie wafanyakazi wao bima za afya na kuwasimamia kupata haki zao ambazo ni mgawanyo wa 10% baada ya uzalishaji, lishe bora, makazi bora na muda wa kupumzika.

Kuna mjumbe aliyesema wafanyakazi huokota madini yanayosalia kwenye mchanga na kuyauza na kupata pesa nyingi kuzidi na ndiyo maana wapo migodini kufanya kazi. Mkuu wa mkoa akamjibu kwa kumwuliza "nani anawaruhusu kuwaachia wachukue madini ambayo ni mali ya serikali" kweli nikaamini tunatawaliwa na siyo kuongozwa.
 
kuna ambao wameshawahi kulipwa hiyo percent?
this is not about siasa bt it is about kuwatetea wachimbaji wengi ambao wamekuwa hawapati haki zao kwa miongo mingi...
nikuulize tu hao matajiri wanapotoa madini kuna hata mchimbaji mmoja anaeruhusiwa kuchungulia kofia kujua kiasi cha madini kilichotoka?hii hadithi ya percent ni zuga tu ya matajiri wengi lakini hakuna anaelipwa hiyo percent zaidi ya kupewa matumaini na matajiri pindi mawe yanapotoka kwamba wasubiri yaliotoka ni kidogo mno hawajarudisha garama zao sasa fikiri mtu amefanya kazi miaka 5 hajalipwa hata thumni unaambiwa mawe yaliyotoka hayajarudisha garama za mwekezaji (muhudumiaji) na wakikuona unafatilita sana percent unafukuzwa na huna mahali pa kulalamika(huna mkataba)...
wako baadhi ya watu wamefanya kazi zaidi ya miaka 10 bila malipo na ikitokea ameumia au amepata ajali hakuna fidia wala hakuna mahali watapata haki zao kwa maana hawana mikataba...all in all inachokifanya serekali ni kuwawekea wachimbaji(wafanyakazi)ambao ndio wengi miundombinu mizuri ili waweze kupata stahiki zao na wafurahie matunda ya jasho lao walilokosa kwa miaka mingi
 
Miji ya Arusha na manyara na kwingineko mikoani kuna michango mikubwa ya kimaendeleo inayotokana na fedha wanazopata wafanyakazi wa migodini. Tatizo wengi wetu ni wafujaji huwa tukipata tunafanya starehe baada ya muda kidogo tuna tia huruma. Yangu macho....
 
Hili swala ni gumu sana hakuna mmiliki wa mgodi mwenye uwezo wa kulipa watu 200 au 300 mshahara,mimi naona utaratibu uliopo uendelee hawa watendaji wa serikali wafanye siasa.mgodi nliopo unaapollo 300 nao wasimamia.
Ukiwalipa mshahara sio chini ya 120m kila mwezi tajiri atazitoa wapi wakti gharama za kuhudumia mgodi ni kubwa kwa mwezi 20m mpka 50m.
Kuhudumia mgodi wa tanzanite sio kma kuhudumia migodi ya dhahabu ambayo kwa mwezi hata 1m haiishi

And at the same time unatoa gharama zote hizo , unaweza kuchimba hata Miaka mitano na husipate mawe. Ni biashara ya bahati nasibu

Huu utaratibu wa kuja kugawana percentage mawe yakija kutoka ndio mzuri
 
Huyo anayelalamika siyo mfanyakazi bali ni hao wenye migodi wanaowalalia wafanyakazi au ni kibaraka wa wenye migoti tu. Huwezi pinga wakati serikali inataka wafanyakazi wapate sitahiri yao siyo mfanyakazi akiumia ndiyo basi.
Inaonekana wewe ni kilaza sana! Achana na Mererani, kule hamna juha wala tahira kama wewe...
 
Back
Top Bottom