Mkuu wa Mkoa Manyara, Mnyeti umekurupuka

Mkuu wa Mkoa Manyara, Mnyeti umekurupuka

Miji ya Arusha na manyara na kwingineko mikoani kuna michango mikubwa ya kimaendeleo inayotokana na fedha wanazopata wafanyakazi wa migodini. Tatizo wengi wetu ni wafujaji huwa tukipata tunafanya starehe baada ya muda kidogo tuna tia huruma. Yangu macho....
Nakubaliana na wewe(mchango ulikuwepo kiasi fulani kidogo sana)isipokuwa ni kwa wachache sana kulinganisha na uwiano wa wafanyakazi(wachimbaji)waliopo na ningependa ufahamu asilimia kubwa waliokuwa wananufaika pindi madini yakitoka ni wamiliki wa migodi na baadhi ya masterling(ambao wengi ni ndugu wa wamiliki wanaoletwa baada ya madini kutoka huku wakiwasukuma kando waliovuja jasho kipindi mawe hayajaanza kutoka(buti) sasa kwa mfumo huu serekali imeazimia kuondosha huo mfumo(naweza kuuita ni unyonyaji na utumwa flani hivi) haiwezekani mtu amefanya kazi miaka mingi(anakata buti)halafu madini yakianza kutoka analeta ndugu na jamaa zake waje kudhibiti waliovuja jasho miaka mingi bila malipo na huna pa kulalamika
WALIOKUWA WANANUFAIKA NI WACHACHE MNO DHIDI YA WENGI WALIOKUWA WAKIVUJA JASHO aidha kwa kujitambua au kwa kutokuwa na uelewa mzuri wa kutambua...sheria zinazokuja ni ukombozi kwa wengi na ndilo jukumu la serekali kuwasaidia wananchi wake dhidi ya wanyonyaji wachache kama hao
 
And at the same time unatoa gharama zote hizo , unaweza kuchimba hata Miaka mitano na husipate mawe. Ni biashara ya bahati nasibu

Huu utaratibu wa kuja kugawana percentage mawe yakija kutoka ndio mzuri
Aliebuni hiyo kanuni kwenye tanzanite abarikiwe huko alipo,bila hvyo watu tungekua tunaishi kwa kubangaiza,ni migodi michache kma 3 hivi matajiri roho yao imeshikamana na mwili vijana hawana kitu
 
Hata mimi ni mfanya kazi siwezi kwenda kumeza ulanga eti nilipwe laki nne. Kama serikali walitaka tulipwe kinachotustahili cyo kima hicho cha mshahara. Wachimbaji wa Tanzanite hufariki kila siku kutokana na athari za ulanga na vumbi la mgodini. Hospital ya Kibongoto imejaa wachimbaji wengi wenye TB na mapafu kuharibika.

Kama lengo ni kutetea maslahi ya wafanyakazi katika migodi ya wachimbaji wadogo basi mshahara uendane na athari za kiafya zilizomo katika migodi. Kwa mfano kwa sheria za SHIRIKA LA KAZI DUNIANI, {ILO}, wafanyakazi wa migodini mishahara yao inatakiwa iwe mikubwa kwasababu kazi ni ngumu na ina athari za kiafya. Hata hivyo hakuna tajiri mwenye uwezo wa kulipa mishahara stahiki kwenye migodi ya tanzanite kwasababu madini yenyewe hutoka kwa kubahatisha.

Ukifanya kazi kwenye migodi ya URANIUM, kutokana na athari za uranium kiafya; lazima ulipwe mishahara mikubwa na incentives kibao na pia kisheria unatakiwa ufanye kwa muda mfupi tu then ustaafishwe na kulipwa pesa ndefu za pension.

Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, shs 400,000 haitoshi kujikimu hata kidogo. Hebu jiulize ni lini utakusanya huo mshahara utoshe ujenge nyumba nzuri, uwe na usafiri, familia iwe na ustawi mzuri na wategemezi wapate msaada toka kwako!?

Suluhisho hapa siyo mishahara bali ni kuwabana waajiri wawapatie wafanyakazi wao bima za afya na kuwasimamia kupata haki zao ambazo ni mgawanyo wa 10% baada ya uzalishaji, lishe bora, makazi bora na muda wa kupumzika.

Kuna mjumbe aliyesema wafanyakazi huokota madini yanayosalia kwenye mchanga na kuyauza na kupata pesa nyingi kuzidi na ndiyo maana wapo migodini kufanya kazi. Mkuu wa mkoa akamjibu kwa kumwuliza "nani anawaruhusu kuwaachia wachukue madini ambayo ni mali ya serikali"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli nikaamini tunatawaliwa na siyo kuongozwa.
Na bado kuna wapuuzi watamuunga mkono mzee wa Gwambina,dunia ina watu wachizi wengi na ndo wanaoneka mashujaa
 
Mnyeti hana nia nzuri na wafanyakazi wa migodini ana ubabe wa kipuuzi kwa kuwa ni mpwa wa raisi.Anathubutu kusema mchimbaji mwanaapolo akishikwa na madini atafungwa ina maana mchimbaji mwanaapolo ategeme mshahara tuu. Itakuwa kazi ya kitumwa haijawihi tokea duniani.Hayo alikuwa anasema Jana 24/02 mirerani akijagamba kama mtu hawezi kulipa mshahara na kodi tutauza hadi shati lake aende alikozaliwa,watu wanachimba kwa kubaingaiza mnakuja mrundikia shida zenu.Utalipaje kodi kabla hujapata
 
Nilichokigundua tu ni kwamba tayari huyu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ameshaangukia katika ' Labeling Theory ' ya kuonekana kwamba ni Mtu mbaya tu na kila akifanyacho ni kibaya. Nimesoma vizuri maelezo yako ila nimegundua kuwa Wewe Mleta Mada ndiyo una matatizo na lengo la Mkuu wa Mkoa Mnyeti wala halikuwa baya tena maamuzi yake ni ya msaada mno Kwenu kama ungeyaelewa. Yes Alexander Mnyeti kama Binadamu yoyote yule anaweza akawa na ' mapungufu ' yake ila kwa sasa tunazidi kumpa ' lawama ' hata ambazo hazistahili. Tupunguze ' Unafiki ' na kupenda kufanya ' Uanaharakati ' kwa Agenda zetu za Kisiasa.
Nadhani aliposema tu kuwa hawezi na hatokuja kushirikiana na watu wa upinzani, labda wajiunge na CCM, alijiondolea "credibility" ya kuaminika kuhusu nia yake. Nchi hii ni ya watanzania wote. Sasa hivi watu wakiona kitu kafanya Mnyeti tu wanajua hakina umuhimu hata bila kujua uhalisia wake
 
Miji ya Arusha na manyara na kwingineko mikoani kuna michango mikubwa ya kimaendeleo inayotokana na fedha wanazopata wafanyakazi wa migodini. Tatizo wengi wetu ni wafujaji huwa tukipata tunafanya starehe baada ya muda kidogo tuna tia huruma. Yangu macho....
Mkutano wa Jana 24/02/2018 mnyeti analazimisha mshahara na mchimbaji mwanaapolo akionekana na tanzanite madini anafungwa anatakiwa ambulie mshahara tuu.Anataka tusachiwe na mwenye mgodi atakayeshindwa kulipa mshahara na kulipa kodi Atafilisiwa, atauziwa hadi shati.Utawala umekuwa wakibabe kwenye mkutano wanakuja na agenda zao hawataki maswali.Ukanda wa ziwa wanaboresha ujimbaji huku kaskazini wanaua.Utawala wa ajabu sana huu.
 
Wewe ndio kibaraka wa mnyeti,unataka tulipwe laki 4 tumekuwa mahouse boy kama wewe.Na ujue watakapo tulipa mishahara watakuwa wanatusachi lini tutapata hela we UCD umeridhika na viporo vya mnyeti na nguo zikimbana unaambuli.
Kumbe huwa unaiba eeeh!! Wafaaaaa!!
 
Mnyeti Zee la manyeti, mzee wa kugawa vibunda alivyopewa na baba jesca baada ya kukusanya kodi zetu
 
Back
Top Bottom