Mkuu wa Mkoa Chalamila azindua usafiri wa Mwendokasi Mbagala-Gerezani

Hata mwaka Jana walifanya kama hivi na baada ya kuisha 7+7 hakuna lolote jipya
watu wanashindwa kuelewa mbagala bado sana magari ya brt kuanza hata mtoa huduma wa mabasi ya mbagala hajulikani na DART bado hawajamtangaza na wala mabasi hayajaja iyo huduma wanayoiona ni speacial kwaajili ya saba saba tu na ni gari zinaanzia gerezan to sabasaba na ni za mtoa huduma wa phase 1 ambae ni kampuni ya UDART, sabasab ikiisha na huduma imeisha

iyo phase 2 ya mbagala bado sana
 
Abiria wa mbezi na kibaha wajiandae kwa mateso zaidi ,maana naamini mabasi yaliyokuwa hayatoshi mbezi ndo haya hayo yanagawanywa na mbagala

Naamini hiyo route ilishaandaliwa mabus yake
Naamini wanaofanya wana uelewa wa kutosha
 
Naamini hiyo route ilishaandaliwa mabus yake
Naamini wanaofanya wana uelewa wa kutosha
Ngoja tuone
mabasi hayo ninmtoa huduma wa phase 1 (udart) saba saba ikiisha yanarudi root za kawaida mbagala bado sana maana itakua na mtoa huduma mwingne kabisa sio kampuni ya udart
Udart si kajenga na yard kabisa pale mbagala ? Huyo mtoa huduma mpya ni nani ?
 
Toka February 2019 mkandarasi alishatia saini mkataba na TANROADS!
Njaa kweli si kitu chema, mjomba mada ni uzinduzi na sio nani aliasisi ujenzi wa hiyo......na kukusaidia tu kwanini mleta mada ameileta hii kwa vile haters hukesha kila siku humu wakidai miradi imeshindikana kuimaliza; wabishi hao na wagumu kama nyundo hata wakionyeshwa daraja la wami, ikulu Dodoma, bwawa la umeme, busisi na mingine miingi bado utaikuta inashupaza 'ngwimbi' tu katika kuhara hili na lile.
 
Wapi nimeandika nani kaasisi?

Mradi ulitakiwa ukamilike toka Feb 2023 ila umegeuka sehemu ya maonesho ya sabasaba kila mwaka.
 
Ngoja tuone

Udart si kajenga na yard kabisa pale mbagala ? Huyo mtoa huduma mpya ni nani ?
unachanganya vitu mali zote za mwendokasi pamoja na majengo,barabara na vituo vipo chini ya wakala wa serikali waabasi yaendayo haraka(DART)
udart ni mpngaji tu kapewa tenda ya kuhudumia mabasi tu kiongozi ni kampuni amiliki chochote kwenye mwendokasi zaidi ya mabasi, yard zote zipo chini ya DART

narudia usichanganye kati ya DART na UDART ni vitu viwili tofaut vinavyofanya kazi sehemu moja

DART ni dar es salaam rapidi transit(wakala wa serikali ) mmiliki wa mali zote za mwendokasi

UDART ni Usafiri dar es salaam rapid transit ( kampuni) iliyopewa tenda na DART ya kutoa huduma za mabasi

mwisho kuna uwezekano wa kila phase ya mwendokasi DART wakatafuta mtoa huduma za mabasi wake
 
Back
Top Bottom