Makonda mnamuogopaList three
36. Hapi - Iringa
35. Mnyeti - Manyara
34. ............. - Mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda mnamuogopaList three
36. Hapi - Iringa
35. Mnyeti - Manyara
34. ............. - Mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Engineer soma hiyoooo
Huyo atakuwa wa mwisho pamoja na yule wa ArushaWapi bashite?
Injinia soma hiooooooooooo
List three
36. Hapi - Iringa
35. Mnyeti - Manyara
34. ............. - Mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Anauguza maumivu kwani babu wa mkoani Tabora amemzidi propaganda mpaka kiki zake zote zinagonga mwambaWapi bashite?
Mzee huyo wa Tabora yupo fiti sana
Makonda mbona simuoni hpo yupo kundi gani?1. Mwanri- amesimamia ipasavyo miradi yote mikubwa Mkoani mwake. Anapambana na changamoto ya Ndoa na Mimba za utotoni ipasavyo. Kampeni Yake ya upandaji miti Ni kampeni inayoonesha Mafanikio. Pia ameanza kuvutia wawekezaji Mkoani mwake. Mwisho, Serikali Mkoani Tabora ilikuwa ya Majungu, Urasimu, Majungu, kwa Sasa amefanikiwa kuwaunganisha Viongozi Wote ingawa bado wapo wachache ambao Ni vilaza.
2. Anthony Mtaka: Ni mjanja, ana exposure, Hana Siasa za Kipuuzi Wala kujipendekeza, kapewa Mkoa ulio nyuma Sana kimaendeleo. Amefanikiwa kuwavutia Wafadhili mbali mbali Mkoani mwake hususani katika Sekta ya Afya. Anabuni na kuanzisha miradi inayovutia wawekezaji, naona anataka kuinua pia Sekta ya Michezo Mkoani mwake.
So far, these, to me, are the Best RCs in Tanzania.
The WORSE ONES:
1. ALLY HAPI:Ni kijana wa Hovyo kuliko Vijana Wote katika Awamu hii akifuatiwa na yule DC wa Hai Ole Sabaya. Kwa vigezo vyovyote vile, Mh. Rais,licha ya kutopangiwa, but the two don't deserve any post in your government if you really mean business.
2. Chalamila: uccm umemjaa kuliko kazi ya ukuu wa Mkoa. Kiufupi Hana uwezo wa kiuongozi, very poor. Vipaumbele vyake Ni tofauti na vya Taifa.
3. Mnyeti: sioni anachokifanya zaidi ya kununua na kutisha Wapinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si huyo hapo.
Taa hazina viwango zinatoa mwanga km torch hta hivyo zimetolewa ingawa bado sijajua sababuHumfahamu wa Geita wewe, jamaa hana makeke kabisa, alipofika kule ni kama Geita kaibadiri sana, hadi taa za barabarani kaweka, maji ya kunywa ( nasikia kwa msaada wa mgodi) kaweka, kajenga bonge la SOKO na Geita sasa anaifanya itazamike kama mkoa badala ya wilaya, anajenga mabarabara kama hana akili nzuri. Huyo mtoto mpendwa wa Dar nadhani ipo sababu nyingine tu ya kupendwa kwake, amekaa ki kick kick zaidi
Taa hazina viwango zinatoa mwanga km torch hta hivyo zimetolewa ingawa bado sijajua sababu
Halafu sifa nyingine ulizompa sio zake ni za mkurugenzi kwa msaada wa benki ya dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtatukana sasa
Mtatukana sasa
Porojo at work!Acha ujinga wewe bashite...!!
Hivi unajua maana ya Uongozi au Chain of Command? Kati ya RC na Mkurugenzi awe wa Jiji, Manisapa au Halmashauri nani aliye chini ya mwenzake? Hivi unajua RC ni overseer wa ma-DED wote mkoani? Ukipata majibu njoo tuendeleze mjadala!.
Porojo at work!Acha ujinga wewe bashite...!!
Hivi unajua maana ya Uongozi au Chain of Command? Kati ya RC na Mkurugenzi awe wa Jiji, Manisapa au Halmashauri nani aliye chini ya mwenzake? Hivi unajua RC ni overseer wa ma-DED wote mkoani? Ukipata majibu njoo tuendeleze mjadala!.
Porojo at work!
Chain of command ipo kisiasa zaidi, lakini linapokuja suala la utendaji mkurugenzi ndyo key player
Yeye ndyo anaandaa mipango ya maendeleo ktk mkoa husika na kuipeleka hazina
Mkuu wa mkoa ni just a watch dog wa rais hakuna anachoweza kufanya anschofanya mkurugenzi
Sent using Jamii Forums mobile app