Mkuu wa Mkoa Bora na Mkuu wa Mkoa bomu

Mkuu wa Mkoa Bora na Mkuu wa Mkoa bomu

Anthony ana exposure na vision; wengine ni mwendo wa kuwekana ndani masaa 24 kisa eti umeuliza swali hawezi kujibu na kuvizia mikutano ya ndani ya vyama vya upinzani kukamata viongozi wake.
 
Mh Gambo kwa vigezo vya uchapa kazi yupo juu, sema tu mkoa aliopelekwa kwa misimamo na kiwango cha uelewa wa upinzani ndivyo vinaweza kumwangusha lakini yuko vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana ya scientific management approach nikuelewa unawaongoza kuja na style inaondoa mikwamo,migogoro na kuleta ufanisi wenye mafanikio.ukishindwa kwenye managemnt approach hujui unachoongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2018 umemalizika juzi na kwa kweli kuna Watendaji wa Serikali ya Magufuli kwa ngazi ya Mkoa waliofanya vizuri na waliofanya vibaya. Kwa tathmini yangu binafsi nimechagua RC aliyekua bora kabisa kulingana na utendaji wake wa kazi lakini pia na RC alifanya vibaya kabisa.Vigezo ni:
  1. Usimamizi wa kazi na miradi ya Serikali.
  2. Mahusiano yake na Viongozi wengine hasa wa Upinzani.
  3. Anavyoitumia sheria ya masaa 24/48 kwa walio chini yake.
  4. Lugha na kauli zake kwa Jamii.
Aliyepata alama za juu kabisa ni Mhe. Aggrey Mwanri- Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
Anayefuatia hapo ni Mhe. Anthony Mtaka- Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.

Aliyapta alama za chini kabisa ni Mhe. Ally Happy- Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Aliyefuatia kwa alama za chini kabisa ni Mhe. Mrisho Gambo- Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Karibuni kwa mjadala na maoni.
Mh
 
Sawa
 
Ingekuwa vizuri vikawekwa vipengele/vigezo kwa ajili ya kuwapigia kura maana mmoja anaweza kuwa bora katika eneo/maeneo fulani na mwingine akawa bora katika maeneo mengine. Hivyo ambaye atapata kura nyingi kwenye maeneo mengi huyo ndiye angekuwa overall winner. Pia majina ya wakuu wote wa mikoa pamoja na mikoa wanayoiongoza iwekwe wazi. Lakini kwa jinsi hii thread ilivyoletwa hakutapatikana jibu sahihi zaidi ya porojo tu.
 
List three
36. Hapi - Iringa
35. Mnyeti - Manyara
34. ............. - Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
haaaaa hapo mbeya nistueni nimwandike sugu???

ila Gambo umemwonea nilikua naye jana kule Muriet anapiga kazi sana

ila kama unashindanisha comedian Mwanri ni namba one ila kama ni ma rc ni Mtaka tu ndo anayejitambua
 
1. Mwanri- amesimamia ipasavyo miradi yote mikubwa Mkoani mwake. Anapambana na changamoto ya Ndoa na Mimba za utotoni ipasavyo. Kampeni Yake ya upandaji miti Ni kampeni inayoonesha Mafanikio. Pia ameanza kuvutia wawekezaji Mkoani mwake. Mwisho, Serikali Mkoani Tabora ilikuwa ya Majungu, Urasimu, Majungu, kwa Sasa amefanikiwa kuwaunganisha Viongozi Wote ingawa bado wapo wachache ambao Ni vilaza.
2. Anthony Mtaka: Ni mjanja, ana exposure, Hana Siasa za Kipuuzi Wala kujipendekeza, kapewa Mkoa ulio nyuma Sana kimaendeleo. Amefanikiwa kuwavutia Wafadhili mbali mbali Mkoani mwake hususani katika Sekta ya Afya. Anabuni na kuanzisha miradi inayovutia wawekezaji, naona anataka kuinua pia Sekta ya Michezo Mkoani mwake.

So far, these, to me, are the Best RCs in Tanzania.
The WORSE ONES:
1. ALLY HAPI:Ni kijana wa Hovyo kuliko Vijana Wote katika Awamu hii akifuatiwa na yule DC wa Hai Ole Sabaya. Kwa vigezo vyovyote vile, Mh. Rais,licha ya kutopangiwa, but the two don't deserve any post in your government if you really mean business.
2. Chalamila: uccm umemjaa kuliko kazi ya ukuu wa Mkoa. Kiufupi Hana uwezo wa kiuongozi, very poor. Vipaumbele vyake Ni tofauti na vya Taifa.
3. Mnyeti: sioni anachokifanya zaidi ya kununua na kutisha Wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wa mikoa wafanya Kazi bora hawasikiki kwenye vyombo vya habari bali kazi yao ndio inaseme yenyewe na ndio maana nadhani wafuatao ndio wakuu wa mikoa bora nao ni Dr B. Mahenge wa Dodoma na hili ilidhihilika kwa mkoa wake kukusanya kodi nyingi kuliko mikoa mingine yote; Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro anastahili pongezi pia kwa kufanya kazi katika mazingira magumu sana ya wale wakuu wa wilaya wasio na nidhamu!!
 
hao ulio wataja wamekuwa kwa ajili ya vyombo vya habari kuwa beba tu.

Ni kweli wanabebwa na media kutokana na utendaji wao wa kazi uliotukuka.
Mbona hata Makonda a.k.a Bashite kila siku anaandikwa kwenye vyombo vya Habari kwa UOVU mbona sijamtaja?
 
1. Mwanri- amesimamia ipasavyo miradi yote mikubwa Mkoani mwake. Anapambana na changamoto ya Ndoa na Mimba za utotoni ipasavyo. Kampeni Yake ya upandaji miti Ni kampeni inayoonesha Mafanikio. Pia ameanza kuvutia wawekezaji Mkoani mwake. Mwisho, Serikali Mkoani Tabora ilikuwa ya Majungu, Urasimu, Majungu, kwa Sasa amefanikiwa kuwaunganisha Viongozi Wote ingawa bado wapo wachache ambao Ni vilaza.
2. Anthony Mtaka: Ni mjanja, ana exposure, Hana Siasa za Kipuuzi Wala kujipendekeza, kapewa Mkoa ulio nyuma Sana kimaendeleo. Amefanikiwa kuwavutia Wafadhili mbali mbali Mkoani mwake hususani katika Sekta ya Afya. Anabuni na kuanzisha miradi inayovutia wawekezaji, naona anataka kuinua pia Sekta ya Michezo Mkoani mwake.

So far, these, to me, are the Best RCs in Tanzania.
The WORSE ONES:
1. ALLY HAPI:Ni kijana wa Hovyo kuliko Vijana Wote katika Awamu hii akifuatiwa na yule DC wa Hai Ole Sabaya. Kwa vigezo vyovyote vile, Mh. Rais,licha ya kutopangiwa, but the two don't deserve any post in your government if you really mean business.
2. Chalamila: uccm umemjaa kuliko kazi ya ukuu wa Mkoa. Kiufupi Hana uwezo wa kiuongozi, very poor. Vipaumbele vyake Ni tofauti na vya Taifa.
3. Mnyeti: sioni anachokifanya zaidi ya kununua na kutisha Wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app

LENDEYSON,
Big up for your comments. Ulichoongea ni ukweli mtupu.Tuko pamoja sana.

Kuna vichaa fulanifulani kutoka ile ngambo wanafikiri RC au DC mzuri ni yule anayehangaika na Viongozi wa vyama vya Upinzani hasa wa CHADEMA kwa kuwaweka ndani masaa 24/48 au Mwananchi yeyote anayewa challenge kwenye utendaji wao....Kuna RC kazi yake ni kuhakikisha Upinzani hawapumui, hawafanyi vikao viwe vya nje au ndani au ku-harass wafanyi biashara kwa kuwaweka ndani kwa vile wanadiwa na TRA kama yule DC mmoja sijui Ole nani yule......ni wendawazimu mtupu.

Lakini ukiangalia Manri na Mtaka ni Viongozi wenye kipawa na Hekma ya Uongozi. Wanatembea kwenye sheria na taratibu za kuongoza watu. Hakuna ubabe, majigambo, matusi au kufanya kazi kwa kujipendekeza kwa Magufuli. Ni haki bin haki.
Kuna haja ya Mhe. Rais kulinagalia hili na ikiwezekana Awafyekelea mbali ma-DCs na RCs wanaoigombanisha Serikali yake na Wananchi kwa kuwa-harass Watanzania wakidai ni MAELEKEZO TOKA JUU. Uchaguzi is just around the corner....2020 siyo mbali...!!!
 
Back
Top Bottom