Mkuu wa Mkoa Bora na Mkuu wa Mkoa bomu

Mkuu wa Mkoa Bora na Mkuu wa Mkoa bomu

Anthony ana exposure na vision; wengine ni mwendo wa kuwekana ndani masaa 24 kisa eti umeuliza swali hawezi kujibu na kuvizia mikutano ya ndani ya vyama vya upinzani kukamata viongozi wake.

Tayari anayewateua ameanza kuwakana hadharani. Kwenye salamu za mwaka mpya 2019 amesema kuwa Watawala(si Viongozi) wanatesa na kunyanyasa watu kwa kisingizio cha MAAGIZO TOKA JUU....!!Mimi naomba Rais aanze na hao wapuuzi wanaomsingizia Rais wa Wanyonge kunyanyasa watu aanze kuwafyekelea mbali ili UCHAGUZI WA 2020 wasije wakamkosesa KULA bure...!!!
 
Shida ni kuwa kati ya wakuu wa mikoa walio wazuri wapo ktk maeneo ya upinzani km makonda na mrisho gambo.na pia ndio waliojitengenezea maadui wengi sn kw sbbu ya utendaji wao wa kz.lkn hakuna km MAKONDA TANZANIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wamikoa bora wapo wawili tu.. Mtaka na Ndekilo wa pwani
Ni Ndikilo siyo Ndekilo. Namkumbuka akiwa RC- Mwanza, ni mtaratibu,anajali watu, ana busara. Hivi karibuni nimeona clip moja akieleza mafanikio ya uwekezaji sekta ya viwanda Mkoani Pwani actually I was so impressed. Natafuta muda nikutane naye animegee busara na maarifa,niboreshe kazi zangu.
 
Tayari anayewateua ameanza kuwakana hadharani. Kwenye salamu za mwaka mpya 2019 amesema kuwa Watawala(si Viongozi) wanatesa na kunyanyasa watu kwa kisingizio cha MAAGIZO TOKA JUU....!!Mimi naomba Rais aanze na hao wapuuzi wanaomsingizia Rais wa Wanyonge kunyanyasa watu aanze kuwafyekelea mbali ili UCHAGUZI WA 2020 wasije wakamkosesa KULA bure...!!!
Anajua kila kitu kinachoendelea, na maagizo bado yapo palepale; huwezi kukamatwa na tuhuma za rushwa kisha ukapandishwa cheo badala ya kuchunguzwa na kufikishwa kwenye vyombo vinavyohusika kujibu tuhuma.

Maagizo kwa wakurugenzi kuwatangaza wapinzani yameshafutika?
 
Maneno yako kwa sehemu yana ukweli na kwa sehemu siyo kweli.
Angalia sakata la Mafao ya Wastahafu lilivyoanza mpaka mwisho wake....We unafikri walichofanya WaziriJenista Mhagama na Mkurugenzi SSRA Irene Isack ilikuwa ni maagizo yake? No sir !

DC au RC mpuuzi anapomkamata mpinzani au raia na kumweka ndani kwa masaa 24/48 ni MAAGZIZO toka juu?Siyo kweli. Kama utakumbuka PM Mhe. Majaaliwa na Waziri Tamisemi Mhe. Jaffo wamewahi kulikemea hili mara kadhaa lakini bado kuna vichaa kama kina Ally Happi bado wanaendeleza ubabe....!!Hii ni sawa na dharau kwa mamlaka iliyowateua...na dawa yake ni KUWAFYEKELEA MBALI watawala wapuuzi wasiojitambua....!!!
 
Shida ni kuwa kati ya wakuu wa mikoa walio wazuri wapo ktk maeneo ya upinzani km makonda na mrisho gambo.na pia ndio waliojitengenezea maadui wengi sn kw sbbu ya utendaji wao wa kz.lkn hakuna km MAKONDA TANZANIA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulichoeleza hapa aidha wewe ndiye Makonda mwenyewe ukijaribu kujitetea au una ubia na Makonda...!
Nasikia huyu jamaa(Makonda) hajawahi kujaliwa mtoto kwasababu za kibailojia.......sasa isije ikawa wewe ndiye.......wake!!!.
Maana kiukweli inahitaji akili ya kichaa au mwendawazimu kutetea utendaji kazi wa Makonda.....!!!
 
Gambo ana video anahamasisha vurugu. Anawaambia wanaccm wawashughulikie wapinzani maana polisi ni wao, serikali ni yao, na mahakama ni zao. Mtu kama Huyo kwa viwango anatakiwa awe hata nyuma ya Hapi. Anaangalia masilahi binafsi ili ateuliwe kugombea jimbo la Arusha. Hata hiyo kazi anayosiwa nayo mbona imeegemea muriet pekee? Mtu anayetaka kuvuruga amani ni wa kuondoa hata kwenye mashindano. Kwangu mimi nimemtoa, shindanisheni wengine.
1. Mwanri- amesimamia ipasavyo miradi yote mikubwa Mkoani mwake. Anapambana na changamoto ya Ndoa na Mimba za utotoni ipasavyo. Kampeni Yake ya upandaji miti Ni kampeni inayoonesha Mafanikio. Pia ameanza kuvutia wawekezaji Mkoani mwake. Mwisho, Serikali Mkoani Tabora ilikuwa ya Majungu, Urasimu, Majungu, kwa Sasa amefanikiwa kuwaunganisha Viongozi Wote ingawa bado wapo wachache ambao Ni vilaza.
2. Anthony Mtaka: Ni mjanja, ana exposure, Hana Siasa za Kipuuzi Wala kujipendekeza, kapewa Mkoa ulio nyuma Sana kimaendeleo. Amefanikiwa kuwavutia Wafadhili mbali mbali Mkoani mwake hususani katika Sekta ya Afya. Anabuni na kuanzisha miradi inayovutia wawekezaji, naona anataka kuinua pia Sekta ya Michezo Mkoani mwake.

So far, these, to me, are the Best RCs in Tanzania.
The WORSE ONES:
1. ALLY HAPI:Ni kijana wa Hovyo kuliko Vijana Wote katika Awamu hii akifuatiwa na yule DC wa Hai Ole Sabaya. Kwa vigezo vyovyote vile, Mh. Rais,licha ya kutopangiwa, but the two don't deserve any post in your government if you really mean business.
2. Chalamila: uccm umemjaa kuliko kazi ya ukuu wa Mkoa. Kiufupi Hana uwezo wa kiuongozi, very poor. Vipaumbele vyake Ni tofauti na vya Taifa.
3. Mnyeti: sioni anachokifanya zaidi ya kununua na kutisha Wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wamikoa bora wapo wawili tu.. Mtaka na Ndekilo wa pwani
Humfahamu wa Geita wewe, jamaa hana makeke kabisa, alipofika kule ni kama Geita kaibadiri sana, hadi taa za barabarani kaweka, maji ya kunywa ( nasikia kwa msaada wa mgodi) kaweka, kajenga bonge la SOKO na Geita sasa anaifanya itazamike kama mkoa badala ya wilaya, anajenga mabarabara kama hana akili nzuri. Huyo mtoto mpendwa wa Dar nadhani ipo sababu nyingine tu ya kupendwa kwake, amekaa ki kick kick zaidi
 
Ulichoeleza hapa aidha wewe ndiye Makonda mwenyewe ukijaribu kujitetea au una ubia na Makonda...!
Nasikia huyu jamaa(Makonda) hajawahi kujaliwa mtoto kwasababu za kibailojia.......sasa isije ikawa wewe ndiye.......wake!!!.
Maana kiukweli inahitaji akili ya kichaa au mwendawazimu kutetea utendaji kazi wa Makonda.....!!!
Wahi ukapimwe akili kijana..utakuwa unaumwa wewe!
 
Ulichoeleza hapa aidha wewe ndiye Makonda mwenyewe ukijaribu kujitetea au una ubia na Makonda...!
Nasikia huyu jamaa(Makonda) hajawahi kujaliwa mtoto kwasababu za kibailojia.......sasa isije ikawa wewe ndiye.......wake!!!.
Maana kiukweli inahitaji akili ya kichaa au mwendawazimu kutetea utendaji kazi wa Makonda.....!!!
Matusi kwanza ni ishara ya kuishiwa,kw nn usingenishawishi kw hoja??! Unantukana bira sbbu.lkn hakuna shida inaonyesha wewe ni mtu wa aina gn.tuachene na wakuu wa mikoa tuanze kutukanana!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2018 umemalizika juzi na kwa kweli kuna Watendaji wa Serikali ya Magufuli kwa ngazi ya Mkoa waliofanya vizuri na waliofanya vibaya. Kwa tathmini yangu binafsi nimechagua RC aliyekua bora kabisa kulingana na utendaji wake wa kazi lakini pia na RC alifanya vibaya kabisa.Vigezo ni:
  1. Usimamizi wa kazi na miradi ya Serikali.
  2. Mahusiano yake na Viongozi wengine hasa wa Upinzani.
  3. Anavyoitumia sheria ya masaa 24/48 kwa walio chini yake.
  4. Lugha na kauli zake kwa Jamii.
Aliyepata alama za juu kabisa ni Mhe. Aggrey Mwanri- Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
Anayefuatia hapo ni Mhe. Anthony Mtaka- Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.

Aliyapta alama za chini kabisa ni Mhe. Ally Happy- Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Aliyefuatia kwa alama za chini kabisa ni Mhe. Mrisho Gambo- Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Karibuni kwa mjadala na maoni.

Rating ya uliyoyataja yanatakiwa yawe na mifano angalau kwa uchache 5..kwa mfano usimamizi wa kazi na miradi ya serikali mfano mradi gani kasimamia umefanikiwa..siyo jumla jumla hivyo ulivyoweka, katibiwe kwanza lakin, baada ya hapo ndio uje na hii ajenda yako.
 
Back
Top Bottom