Mkuu wa Mkoa Bora na Mkuu wa Mkoa bomu

Mkuu wa Mkoa Bora na Mkuu wa Mkoa bomu

Main issue hapa ni kuwahudumia wananchi;

Kishindanisha watu ni makosa
 
Taa hazina viwango zinatoa mwanga km torch hta hivyo zimetolewa ingawa bado sijajua sababu

Halafu sifa nyingine ulizompa sio zake ni za mkurugenzi kwa msaada wa benki ya dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wakurugenzi mikoa mingine hawapo!? But again hua iko hivi, popote duniani chochote kizuri kikifanyika, anae sifiwa hua ni mkuu wa hao wa chini. Bank ya dunia si inaweza either ku finance or kukopesha popote? Now why only Geita!?
 
Habari ya jumapili Wana jf wote.

Mheshimiwa hapo juu kwa kweli,bila ya unafiki,kwa moyo wangu wote,nasema,anapiga kazi Sana.

Sijaona mfano wake kwa ma rc wa kipindi hiki.

Nawaona gere, watu wa tabora,maana wamepata jembe hasa,maana jamaa anafuatilia Kila kitu,Kila hatua katika suala la maendeleo ya wananchi.

Nasema huyu meku(maana yake mzee kwa kichaga) angekua jiji Kama la DSM Mambo yangekua mazuri Sana,Tena zaidi ya Sana.

Meku MWANRI piga kazi,meku,malipo kwa mungu na Wala usigombee ubunge kabisa.

Hata katika serikali ijayo,Kama mukulu atamuacha huyu atakua amepoteza jembe sana.kama vipi mukulu anapita humu ampangie DSM tu meku MWANRI.
hayA ni maoni yangu tu,binafsi,najua wapo watakaomkosoa so ajabu.kwa ushahidi kuona ufuatiliaji wake pita YouTube channel kule,uone jinsi anavyofuatilia Mambo.
.mwisho nimtakie Kila la kheri huyu meku MWANRI katika utendaji wake.

Mwisho kabisa,hongereni Wana tabora kwa kupata jembe.
 
Hapa tunaangalia utatuzi wa kero za wananchi,kujitoa kwao,kuguswa na matatizo ya watu na ubunifu.
Top ten(Wachapakazi)
1.Anthony Mtaka(Simiyu)
2.Paul Makonda(Dar es Salaam)
3.Mrisho Gambo(Arusha)
4.Aggrey Mwanri(Tabora)
5.Evarist Ndikilo(Pwani)
6.Marco Gaguti(Kagera)
7.Adam Malima(Mara)
8.Ally Hapi(Iringa)
9.Alexander Mnyeti(Manyara) na
10.Robert Gabriel(Geita)

Top five(mbovu kabisa)
Ambao kwao kuitisha tu mikutano ya hadhara ya wananchi ili kutatua kero ni mtihani.Kazi yao ni kufukuzana na vitu vidogovidogo tu kama kufuatilia ufundishaji wa walimu kama wao ni maafisa elimu,kutishia watendaji wa vijiji na kata na kuwaweka ndani nk huku mambo makubwa yakiwashinda kuyatatua na ubunifu kwao ni sifuri kabisa(No creativity at all-Making business as usual daily)

Wabovu kabisa ni wafuatao.
1.Godfrey Zambi( Lindi)
2.Zainab Telack(Shinyanga)
3.Gelasius Byakanwa(Mtwara)
4.Christina Mndeme(Ruvuma)
5.Loata Sanare(Morogoro)
Hawa watano niliowataja sioni wanachomsaidia Mh.Rais katika kutatua kero za wananchi.Hawa kwa mbali mno hawafikii utendaji kazi wa DC Jokate Mwegelo.Kuna wakuu wa wilaya wengi tu wenye uwezo zaidi ya hawa ma RC.
Ambao sijawataja hapa angalau wanajitahidi ingawa si kwa kujitoa sana.
 
Back
Top Bottom