Mkuu wa Majeshi wa Ukraine yuko wapi?

Mkuu wa Majeshi wa Ukraine yuko wapi?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,772
Reaction score
35,771
Sisi kama binadamu ni vyema tukajuliana hali na kuweka utu mbele. Ni karibia wiki 3 sasa huyu mwamba haonekani hadharani.

Kuna tetesi zinasema jamaa kaenda na maji au kadhurika vibaya sana baada ya shambulizi la kinzal missile. Hizi ni tetesi tu.

Siku akitokea atakuta Bakhmut inamilikiwa na Urusi.. ataumia sana!
 
Tafuta habari ya kusisimua na ulete hapa tuchangie sio propaganda na ufurukutwa wa kiputini putini
9B73B124-2CEC-410E-85B7-03B65264A6BF.jpeg
 
Tafuta habari ya kusisimua na ulete hapa tuchangie sio propaganda na ufurukutwa wa kiputini putini
View attachment 2630527
Kama sikosei hata wakati Mariopol city inaangukia mikononi mwa vikosi vya Russia alikanusha! Lakini akaja kukubali.
Kwa hiyo si kitu Cha ajabu kukanusha kama Bakmurt imeangukia mikononi mwa Russia!
 
Sisi kama binadamu ni vyema tukajuliana hali na kuweka utu mbele. Ni karibia wiki 3 sasa huyu mwamba haonekani hadharani.

Kuna tetesi zinasema jamaa kaenda na maji au kadhurika vibaya sana baada ya shambulizi la kinzal missile. Hizi ni tetesi tu.

Siku akitokea atakuta Bakhmut inamilikiwa na Urusi.. ataumia sana!
Uliko mzoga wa maembe ndipo tai wakutanikapo ...atakuwa aliko maembe bin niguse ninuke...sasa ananuka kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sisi kama binadamu ni vyema tukajuliana hali na kuweka utu mbele. Ni karibia wiki 3 sasa huyu mwamba haonekani hadharani.

Kuna tetesi zinasema jamaa kaenda na maji au kadhurika vibaya sana baada ya shambulizi la kinzal missile. Hizi ni tetesi tu.

Siku akitokea atakuta Bakhmut inamilikiwa na Urusi.. ataumia sana!oe

Mwishoni wishoni mwa mwaka jana niliona alikua anamkosoa kosoa Zelensky kwa hiyo nika-conclude kwamba his days are numbered kwa kupitia mbinu nyingi za kumtoa pumzi.
 
Kama sikosei hata wakati Mariopol city inaangukia mikononi mwa vikosi vya Russia alikanusha! Lakini akaja kukubali.
Kwa hiyo si kitu Cha ajabu kukanusha kama Bakmurt imeangukia mikononi mwa Russia!
Subiri ila siombei, na ww uvamiwe kwako, Kwako!!![emoji378][emoji380]na vibaka kumi ndani na kumi nje! Halafu wainajisi maskani yako, Kisha mashabiki washangilie Kwa Sana Kuvamiwa na kunajisiwa wako!
Halafu uje utupe Mrejesho![emoji56][emoji101]
Mimi Ninasali kila siku Kumuomba Mungu Awake Wepesi Ukraine na Aiaibishe russua Kwa uvamizi wake wa kishamba¡

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
endeleza duwa la kuku kumshusha mwewe ...kutoka anga za juu .....nakushauri acha hayo maombi ....una waste yooo time....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
saa zingine nakuelewaga sana kuna time unakuwa mkweli kuna time unaamua kukurupuka tuuu kama yale mapa triotiki ya supa pawa marekani wa mchongo ....
Putin yuko wapi maana hajaonekana wiki 2 sasa
 
O
Subiri ila siombei, na ww uvamiwe kwako, Kwako!!![emoji378][emoji380]na vibaka kumi ndani na kumi nje! Halafu wainajisi maskani yako, Kisha mashabiki washangilie Kwa Sana Kuvamiwa na kunajisiwa wako!
Halafu uje utupe Mrejesho![emoji56][emoji101]
Mimi Ninasali kila siku Kumuomba Mungu Awake Wepesi Ukraine na Aiaibishe russua Kwa uvamizi wake wa kishamba¡

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Omba Amani ipatika kati ya Russia na Ukraine! Hayo ndiyo Maombi Mungu anayasikia!
 
Huwezi Ukamzidi Yohana Mbatizaji kwa Maombi!
Alienda ikulu kukemea uzinzi wa herodi akakatwa kichwa!
IMEANDIKWA!
[emoji116][emoji116]
Romans 12:1
[1]I Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.
 
endeleza duwa la kuku kumshusha mwewe ...kutoka anga za juu .....nakushauri acha hayo maombi ....una waste yooo time....

ww sio Mtz ungekuwa Mtz ungekumbuka ima ulikūwa bado unanyonya!
Mtz yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati iddi amin alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
Wallahi bilahi watalahi SITASAHAU [emoji56][emoji35]
[emoji116][emoji116]
mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita! na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seeking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya Nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na wao kutusaidia!; amini angeendelea kutamba mwanza na vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuuza silaha zake
 
duhh kumbe ......ok mkuu naipenda nchi yangu tanzania .....
 
Ukraine’s top general gravely wounded in Russian strike – RIA​

Valery Zaluzhny won’t be able to command Kiev’s forces anymore due to head trauma, a source told the agency
 
Back
Top Bottom