Mkuu wa Majeshi wa Ukraine yuko wapi?

Mkuu wa Majeshi wa Ukraine yuko wapi?

Ukraine’s top general gravely wounded in Russian strike – RIA​

Valery Zaluzhny won’t be able to command Kiev’s forces anymore due to head trauma, a source told the agency
huyu alishakufa siku mingi...hapa tunazugwa tu..ila alishalambishwa mchanga kitambo...na ndio maana Zelensky anaishi kama digidigi siku hz...hata Poland napo hapaamini anaona ni kama vile Ukraine tu

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Tafuta habari ya kusisimua na ulete hapa tuchangie sio propaganda na ufurukutwa wa kiputini putini
View attachment 2630527
Screenshot_20230522-123117_Twitter.jpg
 
Sisi kama binadamu ni vyema tukajuliana hali na kuweka utu mbele. Ni karibia wiki 3 sasa huyu mwamba haonekani hadharani.

Kuna tetesi zinasema jamaa kaenda na maji au kadhurika vibaya sana baada ya shambulizi la kinzal missile. Hizi ni tetesi tu.

Siku akitokea atakuta Bakhmut inamilikiwa na Urusi.. ataumia sana!
Ndio atajitokeza huku kweli
 
Ukraine’s top general gravely wounded in Russian strike – RIA​

Valery Zaluzhny won’t be able to command Kiev’s forces anymore due to head trauma, a source told the agency
Toka vita ianze Urusi ilishapoteza wakuu wao ata idadi haijulikani tena., wa mwisho ni Prigozen ambaye kesho atatoa jesh la Wagner baada ya kichapo sasa kiongozi 1 wa Ukraine kuwa wounded wewe una mdomo unaleta mdomo wa nini
 
hatukatai wakuu wengi wa russia wamekufa ila
huku ardhi ya ukraine inabebwa mdogo mdogo....
bakhmut ishasepa hivo ....kituo kinachofuata ni odessa.....
kaa kwa kutulia View attachment 2633842
 
Attachments

  • Screenshot_20230523-194929.jpg
    Screenshot_20230523-194929.jpg
    56.6 KB · Views: 9
Toka vita ianze Urusi ilishapoteza wakuu wao ata idadi haijulikani tena., wa mwisho ni Prigozen ambaye kesho atatoa jesh la Wagner baada ya kichapo sasa kiongozi 1 wa Ukraine kuwa wounded wewe una mdomo unaleta mdomo wa nini
Mkuu uko wapi dunia hii? Wagner wameshamaliza kazi ya kuiteka Barkimut na sasa watachukua siku kadhaa kupumzika kabla ya kupewa majukumu mengine ya kukomboa miji mingine ya Donbass. Wakati huo kazi inayoendelea ni kusafisha mji ya kuondoa maiti za majeshi ya Ukraine na mamluki wa Nchi za Magharibu.
 
hehehe mumeshindwa kuiteka Bakhmut sasa mnajaribu propaganda, ila muziki ni ule ule.
Pole sana Mkuu! Uko wapi dunia hii? Mji umeshawekwa kikamilifu chini ya majeshi ya Russia baada ya Wagner kumaliza kazi.
 
Urusi na leo kumetibuka tena upande mwengine, wanataka nchi yao iwe huru wasimamishe demokrasia waondokane na udikteta
Teh Teh Teh! Taarifa zenyewe ni za CNN? Tafuta vyanzo vingine vya habari visivyoegemea upande wo wote! Russia ni Taifa huru.
 
Pole sana Mkuu! Uko wapi dunia hii? Mji umeshawekwa kikamilifu chini ya majeshi ya Russia baada ya Wagner kumaliza kazi.

Naona unauliza kila mtu yuko wapi dunia hii, mbona mnalazimisha tuamini utekaji wa mji kwa kutumia mitandao, tupambane frontline.....matamko hayatawasaidia kitu.
 
Mkuu uko wapi dunia hii? Wagner wameshamaliza kazi ya kuiteka Barkimut na sasa watachukua siku kadhaa kupumzika kabla ya kupewa majukumu mengine ya kukomboa miji mingine ya Donbass. Wakati huo kazi inayoendelea ni kusafisha mji ya kuondoa maiti za majeshi ya Ukraine na mamluki wa Nchi za Magharibu.
Jisikie aibu jana Pregozen kiongozi wa Wagner alikiri kupoteza askari zaidi ya 22,000 kati ya 50,000 ndio wakaamua kukitoa zao watamalizwa, bakhmut bado inashikiliwa na Ukraine propaganda ndio iliyokuibua hapa jf ulikuwa hoi bintaaban na huna namna makundi tayari Russia wanataka nchi nchi yao na wanataka demokrasia putin atokee tu
 
Sisi kama binadamu ni vyema tukajuliana hali na kuweka utu mbele. Ni karibia wiki 3 sasa huyu mwamba haonekani hadharani.

Kuna tetesi zinasema jamaa kaenda na maji au kadhurika vibaya sana baada ya shambulizi la kinzal missile. Hizi ni tetesi tu.

Siku akitokea atakuta Bakhmut inamilikiwa na Urusi.. ataumia sana!
Wamumteketeze tuu Alitaka kiasi na kupindua Serikali
 
Jisikie aibu jana Pregozen kiongozi wa Wagner alikiri kupoteza askari zaidi ya 22,000 kati ya 50,000 ndio wakaamua kukitoa zao watamalizwa, bakhmut bado inashikiliwa na Ukraine propaganda ndio iliyokuibua hapa jf ulikuwa hoi bintaaban na huna namna makundi tayari Russia wanataka nchi nchi yao na wanataka demokrasia putin atokee tu
Kwaiyo mkuu unabishana Hadi na zelensky [emoji38]
 
Back
Top Bottom