Watu wanapinga uonevu wa Putin ila kwavile ww ni mjinga unahisi kuunga mkono Ukraine ni kuiunga mkono Marekan , haya ndo madhara ya uhuru wa kupewa mkonon bila kuutolea jasho , sasa hv mipuuz baadhi ya afrika inashabikia tabia za kifirauni za Putin ambazo miaka 60 nyuma tulikuwa tunafanyiwa na tulibahatika kuzipunguza , baada ya kizaz cha akina Nyerere sisi wajukuu tunafurahia tabia zile zile za kifedhuri wazee walipiga vita , ni aibu hii asee yaan tunakuwa kama nyumbu mbugan sisi hatuna mipango zaid ya kufuata maji yapo wapi bila kinga yoyote , soon baada ya Ukraine , walengwa wa hizi tabia za uvamizi ni nchi dunia ya tatu mf nchi za bara la Afrika , baada ya Urusi kuivamia Ukraine , India nae akaanza jipanga ipora rasmi Kashmir ambapo mgogoro ulikuwa kwenye hatua nzur tu ya mazungumzo , pia China akajipanga kuivamia Taiwan , bila kusahau N.Korea akaanza lenga makombora upande wa S.Korea na Japan , huku China akitia shinikizo kwa wadaiwa sugu wa afrika kwa kumega maeneo tajwa kwenye miakataba yao