figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Sababu ya ku postpone ni ipi kaka ?Mkuu wa Majeshi na Ulinzi (JWTZ) kaahirisha ziara ya Kibiti. Alikuwa akaongee na Wakazi wa Kibiti Pwani
inamaana kwamba alikurupuka?Protocol haimruhusu kuongea na raia
Kabla hawajatangaza public , walikuwa hawajui hilo ?Protocol haimruhusu kuongea na raia
Ukute Intelligencia imenasa kuwa hali isingekuwa nzuri
Ila sidhani kama ilikuwa sahihi yeye kutaka enda kule...
Kule ni siasa ndio sababu ya mauaji
Ni udhuruSababu ya ku postpone ni ipi kaka ?