Mkuu wa Majeshi na Ulinzi (JWTZ) Venance Mabeyo, aahirisha ziara ya Kibiti

Maoni yangu
Ziara ya cdf haikufata protocal kuna watu wengi chini yake wasemaji wa jeshi wakuu wa utawala wa jeshi bado wapo na wangeweza kwenda kuonhea na raia
Kimantik kama cdf andeenda na wale jamaa wangeua tena raia ama polisi ingeonesha kua wauwaji wamelizidi jeshi kila nyanja io ingekua aibu kwa cdf
Ishu ya kibiti inahusu jeshi la poris na sio jeshi kwa maana kwamba polisi na usalama wa taifa wanatakiwa kufanya upepelezi yakinifu kujua chanzo cha mgogoro na wauaji
Pia serikali iwaombe viongozi wa vyama vya upinzani mim naona maalim seif angefaa sana kusaidia kutuliza mgogoro io no psychology trick kwa wahusika ambao wameonekana kuwa na chiki wa viongozi wa ccm
Cdf abako na maamuz ya mwisho kwanza operation za kibiti ni ndogo sana hadi kufikia ngazi ga cdf
Na kwa mujibu wa kanun rais ndiye amri jeshi mkuu kwaio ki protocal mkuu wa majeshi awez kwenda nyuma ya mkuu wa nchi itaonesha yy ndo mkuu kuliko rais
Nafikir cdf hakua makin na amevunja protocal
Hahaa, haya mambo
 
Mkuu kuna habari leo umezisikia? Mtu kashikwa na kombati 5000 za jeshi! Sasa hatujui keshauza ngapi au tenda alipewa na nani? Hili ni zito kuliko la kibiti na linahatarisha usalama wa taifa na hata CDF hawezi kujua ule msafara wanajeshi wangapi magaidi. Ebu acha washughulikie hili kwanza.
Mhh ya kweli haya mkuu.!
 
ntashangaa kama mkuu wa majeshi ataamua kuingia kichwa kichwa kwenye hili...nadhan kuna polisi...TISS wafanye kazi yao kwanza!!
 
Siungi mkono cdf kwenda, ajabu ni kwamba mambo yakienda mrama au tofauti tutasema jeshi letu limishindwa. Cdf usifanye siasa...... Jw inaheshimika sana.
Kuheshimika ni pamoja na kuhakikisha ulinzi na amani ya nchi vinadumishwa.
 
Mkuu kuna habari leo umezisikia? Mtu kashikwa na kombati 5000 za jeshi! Sasa hatujui keshauza ngapi au tenda alipewa na nani? Hili ni zito kuliko la kibiti na linahatarisha usalama wa taifa na hata CDF hawezi kujua ule msafara wanajeshi wangapi magaidi. Ebu acha washughulikie hili kwanza.
hutokea mtu 'kupigwa' kwenye biashara ya nguo,wengi tu walifungua balo na kukuta kombati,mwishowe huzichoma tu
 
Unamaanisha tatizo ni vyama vyetu vya siasa hivi uchwara ndiyo chanzo !?

Kwa mawazo finyu ya kisisiemu unaweza kutoa majibu ya kuwahadaa wananchi kuwa chanzo cha mauaji ya Kibiti ni siasa. Kama unataka kuondoa tatizo, you have to dig deeper.
 
CDF tuma vijana wako wafanye intelejinsia ya chini chini waje na majibu ya uhakika na tatizo litatuliwe na sio blah blah za wanasiasa, hatupendi watanzania wenzetu wafe, lakini pia tunahitaji kujua chanzo ili tutatua tatizo...
Hayo yalitakiwa yafanywe mapema, tatizo sasa hv ukionekana tu mgeni wanajua umeenda kuwapeleleza. Ikishafika hali kama hy ni kutumia mapandikizi yani ktk wao(wenyeji) wapatikate watu wa kushirikiana na vyombo vya dola kisiri siri, japokuwa wakigundulika wataonekana wasariti
 
Kwa mawazo finyu ya kisisiemu unaweza kutoa majibu ya kuwahadaa wananchi kuwa chanzo cha mauaji ya Kibiti ni siasa. Kama unataka kuondoa tatizo, you have to dig deeper.

Si miye nileyesema hayo, ni mwengine yakheee, Nami Nilikuwa nauliza Kama tatizo ni vyama ama ni siasa!
 
Back
Top Bottom