Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,954
- 3,011
Wapeleke Wanajeshi kule wapite pori kwa Pori yani tuone kama tutasikia Vifo
Wauaji watumie nguvu na silaha ila.Majeshi yetu yasitumie....what a skewed reasoningTatizo la kibiti sio maguruneti au vifaru.
Bila intelijensia makini hayo mengine ni kupoteza muda
Comrade Saint IvugaVita ya kibiti iblnafanywa na wajeda. Wana biashara zao za kuuza mikaa ambazo zimepigwa marufuku.
In short kwenye system wanajuana wote
Nasikia wale si watu Wa kawaida wanataka kuonesha ushindi kwa hiyo cdf aende taratibu wanaweza mrushia Bomu . wao nadhani lengo lao ni watu wawapishe ili kibiti iwe ngome yao.wanataka waansishe uasi rasmi lakini hawana pori maalumu.Mkuu slow down...si kwa speed hiyo...
Sidhani kama wapo msituni, yasemekana wapo mingoni mwa raia humo humo na wakipiga tukio wanaendelea na shughuli zao za kila siku kama kawaida na jamii inawajaua. Huenda ndio maana wakubwa hawa vyombo vya ulinzi na Usalama wanajaribu sana kuzungumza na wananchi kwa sababau wanaamini wananchi wanawajua. Kwa namna moja au nyingine wananchi wanajiona kama wako attached na hao wahuni na haijawahi mwananchi wa kawaida kuuawa. Wanaona kama wako upande wa kutetea haki zao baada ya kinachodaiwa manyanyaso ya mda mrefu kutoka kwa dola( sijui polisi, mgambo, maliasili n.k).Wapeleke Wanajeshi kule wapite pori kwa Pori yani tuone kama tutasikia Vifo
Kiongozi wangu. Heshima yako.Comrade Saint Ivuga
Sote tunahitaji kumaliza hili tatizo
Tupatie ufumbuzi kwa namna unavyoona inafaa zaidi
Tatatizo busara awamu hii sio kipaumbeleTatizo la kibiti sio maguruneti au vifaru.
Bila intelijensia makini hayo mengine ni kupoteza muda
Ikitokea cdf naye akapigwa risasi sijui itakuwaje!!!!
Duh! Ndugu naona umesaidia kupunguza tu stress za wachangiaji. Mwenge haujawahi kuwa suluhu ya tatizo lolote nchi yoyote ile duniani.Nashauri mwenge upige kambi kibiti karibu mwezi mzima
Kwa kuwa akili hawana hapo ndipo wataingia mtegoni. Maana hata vyombo vishawajua hiyo trend Ila kama wasipofanya tukio wakatulia kimya threat level ya hawa jamaa itabidi iongezweAlienda Sirro akapiga Mkwara alipotoka tu wakauwa.
Ameenda Amiri Jeshi na bado yupo wamepiga Askari.sasa akienda Mabeyo sijui nini kitafata