Mkuu Wa Kituo Apigwa Risasi.

Mkuu Wa Kituo Apigwa Risasi.

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,425
Reaction score
3,300
Mkuu wa kituo cha polis Wilaya ya kilindi amejeruhiwa kwa risasi na kikundi cha watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi.
Mkuu wa kituo hicho ni Insp. Lusekelo.
Kwa sasa yuko Bombo kwa matibabu zaidi na kikundi hicho kina watu wanaokaribia 80 wamerusha risasi angani kwa usiku mzima.

Radio one.
 
Inakuwaje vyombo vya ulinzi havipeani taarifa mpaka kufikia hatua ya kugongana kiasi hiki.

Inakumbusha yule ocd wa Hai Kmanjaro alivyopgwa mshale na polisi jamii usiku.
 
Du! Hatari sana ...
 
BABALAO TUAMBIE NI SHAMBULIO AU BAHATI MBAYA? NA HADI ANAPEGWA RISASI YEYE ALIKUA ANAPAMBANA NAO funguka
 
mkuu hii ni habari kubwa sana, hata nami nilivyoona nilidhani ni mazoezi ya polisi wenzao au JWTZ kumbe ni kikundi tu ambacho kinawqeza kuwa illegal!
Haya wale waliokuwa wakifanya masihara na 'ugaidi' na sasa anzeni kuona ugaidi wenyewe.
BABALAO TUAMBIE NI SHAMBULIO AU BAHATI MBAYA? NA HADI ANAPEGWA RISASI YEYE ALIKUA ANAPAMBANA NAO funguka
ITV Tanzania
Breaking News: Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga Inspekta Nsekelo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi katika vijiji vya Lolagana na Mwambe baada ya kutokea mapambano baina ya kikundi hicho na polisi.
[h=5][/h]
 
Inakuwaje vyombo vya ulinzi havipeani taarifa mpaka kufikia hatua ya kugongana kiasi hiki.

Inakumbusha yule ocd wa Hai Kmanjaro alivyopgwa mshale na polisi jamii usiku.

swali ni je, kikundi hicho ni halali au haramu?? Mazingira yanaonyesha lengo la mkuu wa kituo ilikuwa ni kukamata kikundi hicho kilichokuwa kinafanya mazoezi ya kijeshi. Jiographia ya maeneo yale ni mapori and very isolated.....(??????)
 
Intelijensia iko busy na Chadema, hivi hamuoni mnapoteza muda kushughulikia vitu visivyo na msingi?? si ajabu tutasikia alshabab wako humu humu dsm na hamjui.

Kutambua uwepo wa kikundi hicho na mazoezi ya kijeshi huko kilindi na kuchukua hatua ya kukabiliana nacho kama ilivyotokea was a good work of Intelligence sir!
 
kwa kweli hali ni ya hatari sana kwa mujibu wa b/n ya itv vijana hawa wanakaribia kufikia 200 waliotiwa mbaroni mpk sasa ni wanne "4" tu.;angalizo;- polisi na helicopta zao waache kukaa mijini na vyombo hivyo wazunguke ktk mapori mbalimbali tz kwa usalama zaidi wa taifa letu
 
Mkuu wa kituo cha polis Wilaya ya kilindi amejeruhiwa kwa risasi na kikundi cha watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi.
Mkuu wa kituo hicho ni Insp. Lusekelo.
Kwa sasa yuko Bombo kwa matibabu zaidi na kikundi hicho kina watu wanaokaribia 80 wamerusha risasi angani kwa usiku mzima.

Radio one.
babalao sjakuelewa mkuu ni wanajeshi walikuwa wanafanya mazoez ya kijesh au ni watu tu wana miliki hzo slaa na kufanya mazoez ya kijeshi
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli hali ni ya hatari sana kwa mujibu wa b/n ya itv vijana hawa wanakaribia kufikia 200 waliotiwa mbaroni mpk sasa ni wanne "4" tu.;angalizo;- polisi na helicopta zao waache kukaa mijini na vyombo hivyo wazunguke ktk mapori mbalimbali tz kwa usalama zaidi wa taifa letu

mizinga, helikopta hazita saidia kama wataendelea kuongoza nchi kwa mabavu, watatue matatizo kwa njia sahihi siyo kubaka wa mama..
 
babalao sjakuelewa mkuu ni wanajeshi walikuwa wanafanya mazoez ya kijesh au ni watu tu wana miliki hzo slaa na kufanya mazoez ya kijeshi
Sio wanajeshi,ni kikundi cha watu takribani 200 walikuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi...
Serekali iwe makini uhasi unanukia Tanzania..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom